KERO Abiria Mwendokasi wakosa magari kwa zaidi ya saa nne, vurugu zatokea Kivukoni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
891
4,159
Zipo dalili za uwepo wa mgomo na kuhujumu magari ya Mwendokasi DAR. Leo naambiwa hakuna magari huku madereva wakiwa wametelekeza magari ubungo kwa kisingizio cha uchakavu.

Waziri mwenye dhamana na mkuu wa mkoa kwanini mnafumbia macho menejimenti ya kampuni hizi?

Kindamba unaona yanayoendelea?
 
Zipo dalili za uwepo wa mgomo na kuhujumu magari ya Mwendokasi DAR. Leo naambiwa hakuna magari huku madereva wakiwa wametelekeza magari ubungo kwa kisingizio cha uchakavu.

Waziri mwenye dhamana na mkuu wa mkoa kwanini mnafumbia macho menejimenti ya kampuni hizi? Kindammba unaona yanayoendelea?
Wazungu wanaita fall back position,Mama tunakuomba uruhusu dada dala za mbezi posta ziruhusiwe kwa miezi sita hadi hapo hali ya mabasi ya mwendokasi hali itakapokuwa nzuri
 
Zipo dalili za uwepo wa mgomo na kuhujumu magari ya Mwendokasi DAR. Leo naambiwa hakuna magari huku madereva wakiwa wametelekeza magari ubungo kwa kisingizio cha uchakavu.

Waziri mwenye dhamana na mkuu wa mkoa kwanini mnafumbia macho menejimenti ya kampuni hizi? Kindammba unaona yanayoendelea?
"Let us agreed that Blacks cannot rule themselves, Whites are born in order to rule and Blacks are born to be ruled."

Pieter W. Both, a former President of South Africa during the Apartheid era.

Mradi huu utakufa endapo kama hatua za haraka zisipochukuliwa kwa kumpatia Mwekezaji mzuri kuuendesha ili kuunusuru na janga la kifo siku chache zijazo . Sisi watu Weusi hatuwezi kuuendesha Mradi wowote ule kwa ufanisi, tusione aibu kuwapa Wazungu Mradi huu.
 
"Let us agree that Blacks cannot rule themselves, Whites are born in order to rule and Blacks are born to be ruled."

Pieter W. Both, a former President of South Africa during the Apartheid era.
Black tunazaliwa na severe brain defect, ambayo ni trait iliyoathiri uwezo wetu wa kufikiri na kushindwa kuona matendo yetu katka angles zote.
 
Back
Top Bottom