Aah: Simba Kapakatwa jamani... !!

Wakuu mbona always mnachanganya?
Kibuku na Banana ni pombe za kiwandani bana, huezi zichanganya na hizo treemade na homemade.
Tena kama Kibuku mnawaunderestimate kabisa, maana wanalipa kodi kubwa kuliko Barrick, chondechonde wakuu.

Hata packaging yake ni bora pia.. Ila bei yake sasa,na inakouziwa sasa!
 
Unahofia raia watamchoka kama walivyomchoka memba mmoja jina lake linaanza na R?
Hahahahahahaaaaa sasa wewe unaanza tena kuleta uchokozi hujui uko live saa hizi...akipita kwenye hii thread nalog Off teh teh
 
Hapo hajasema neno lake moja mh akija atalisema mwenyewe ila linaanza na maaaaaan.....com

Unaniua kaka.
Hilo neno Asprin ndo ana hakimiliki yalo, sie wengine mdananda tu.
I ain't worth it joh!
 
Last edited by a moderator:
Hata packaging yake ni bora pia.. Ila bei yake sasa,na inakouziwa sasa!

Sh. 600 tu/1L ya Kibuku, afu ukipiga tatu ni sawa na Kilimanjaro tisa, ila domo linanukaje?
Bia ilivyo-turn 1700, ilibaki kidogo nihamie huko, maana nikiangalia kiroba nacho kilishakuwa 1200.
 
Hahahahahaaaa huko sio Duniani?
Pole sana ni wapi huko?
Tukuyu? Lol kule ndio mwisho wa baridi TZ

nipo loliondo, hakufai huku,kwanza kutoka ar unatumia masaa 8! Barabara mbovu ile mbaya!Kuanzia leo naunga mkono ujenzi wa barabara ya serengeti.
 
Mphamvu
pole sana, unajua kwa nini nilishangilia? Nilijua tu piga ua galagaza by any means hata judge akifunga macho jamaa lazima atashinda. Kama alikutwa na masanduku ya kura na akatangazwa ushindi itakua mahakamani? Tena mahakama ambazo zipo chini yao?

Halafu Mphamvu, hutaki waziri ashinde kesi? Unataka akale wapi jamani loh........!!!!

Ila sijarudi kwenye ile thread nahisi wadau walishambulia eeeeh? Ngoja nikaitafute


Ningekuwa na mabawa mimi ningeruka kama ndege...
Nooh? Umeniudhi sana BADILI TABIA leo, kwenye ile post ya ushindi wa Maqongorroh, umewashabikia magamba mpaka umeniudhi.
Aaaagh...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom