BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Hujachelewa! Weka oda ya mnyama pori fasta usiku uletewe walau kiroba nyingine waachie!
niagize nyama ya nani? Swala au yule mnyama mwenye shingo ndefu, anayesafirishwaga kwenda nje?

Wapi? Pemba au ?
Mzima Gee Cee?