Aah: Simba Kapakatwa jamani... !!

Erickb52 hunipeleki huko mm...ndo wamekutuma ulete mwingine...haha!kama tende zapatikana kariakoo ntazisubiria huku ng'ambo!...una yako ndugu!...lol
Hahahahahaaa BAGAH we ni wa kunikana mimi?
Ngoja nitamtafuta Nicas Mtei nijumuike nae maaana wewe hukawii kupoteza wakati tuko baharini
 
Last edited by a moderator:
Yanga hoyeeeeee......jamani nani anaweza kufotoa ile picha ya simba kapakatwa akaipost hapa,ni nzuri kweli.
 
Erickb52 hunipeleki huko mm...ndo wamekutuma ulete mwingine...haha!kama tende zapatikana kariakoo ntazisubiria huku ng'ambo!...una yako ndugu!...lol

Makubwa..

Ashakuwa pimp naye.. Lol!
 
Last edited by a moderator:
Nadhani mikono ipo karibu kumtetemeka asipopata hiyo kitu kwa muda mrefu!
Hahahaaaa
Ila akienda kuishi Pemba ile safari ya kwenda kuitafuta ndovu lazma atachoka na hamu itakuwa inamuisha haraka na ipo siku atajikuta kawa Mchungaji
 
Hiyo Etina iko pande zipi sasa?

na wewe bana...tatizo zenj imekuharibu...huko nyuma hukua ivo...sijui nani anakutia kichwa siku hizi...sa hujui ETINA ww?...maeneo kama unaenda BULLS savei...university road!...ila bia 2500tsh..usije na hela zako za mawazo...lol
 
uwiiiii....kitu longalonger...ila nasikia barabara ya vumbi ndio nzuri kupisha gari...ati inakua imara...mmhuu hata sijaelewa gambachovu

so hatakufaa pamoja na ufasta wako.. Nilitaka umtoe out kokote mtakakokubaliana.. Lakini basi,ushashindwa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom