Aah: Simba Kapakatwa jamani... !! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aah: Simba Kapakatwa jamani... !!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by gambachovu, May 2, 2012.

 1. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ni ka-pub kazuri ka kupumzikia na kungojea foleni ipungue...
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Wapi? Pemba au ?
  Mzima Gee Cee?
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  iko wapi?
   
 4. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Dar... Karibu na Chagga Bite zamani.. Kituo cha basi cha Makumbusho! Njia ya kwenda Mwenge..
   
 5. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Niko poa mkuu Erickb52 ...

  Nimemfahamisha mkuu BADILI TABIA hapo juu...

  Kipi kichokufanya upeleke mawazo kuwa hiyo iko Pemba? JF bana!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  May 2, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  ok, we pumzika huku ukipunguza wallet yako....
  Mie nipo kijijini huku, baridi halielezeki, natetemeka hadi utumbo........
   
 7. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #7
  May 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahahahaaaaa kule nomaaaa kaka
  Hakuna maeneo kama hayo ndio nikadhani wamefanikiwa kupata walau hiyo moja
  Kule ukitaka kushtua kidogo unaenda kambi ya Jeshi ndio kuna vindovu na Vicastle Lite.....
  Teh
  ................... Picture206.jpg ..........................
   
 8. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #8
  May 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hapo nawastua kina Erickb52 na BAGAH maana mi mwenyewe,nikienda bongo,ujue naenda kupumzika mkuu..
  Labda na Konnie maana naye ni wa bongo...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #9
  May 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  hamna kitu pale zaidi ya yshabiki tu
   
 10. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #10
  May 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Pemba "sijaendaga".. Ila Zenj.. Nimeishi kabisa.. Bia bei mbaya kama nini!
   
 11. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #11
  May 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahahahaaa labda niwakilishwe na BAGAH ingawa akija hapo kutoka itakuwa kesho mchana tena kwa kubebwa hahahahaaaaaa gambachovu unaenjoy na mei 2 eeeeeh?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #12
  May 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Dah Kule jamaa wanafuata maadili ila kwenye ile kitu wanashtua kama kawaida ila kwa Bia na Kitimoto ndio haramu
  Lol wajanja sana
   
 13. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #13
  May 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Pale giza likiingia,viti vinapangwa karibu na barabara... Mnaangalia foleni inavyoenda tartiibu,huku mmeweka oda ya "vitafunwa" na vilaji vikiendelea..
   
 14. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #14
  May 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  gambachovu Pemba nilienda mwaka jana mwishoni....Ni pazuri sana kwa mazingira ila kwa sisi wazurulaji hapatufai kabisaaaaaaa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #15
  May 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahahahaaaa huko sio Duniani?
  Pole sana ni wapi huko?
  Tukuyu? Lol kule ndio mwisho wa baridi TZ
   
 16. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #16
  May 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mkuu Erickb52 nimecheka kuhusu BAGAH ila mimi niliko,mvua si kali sana ila imeanza saa 12 hivi,wala haijatulia!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #17
  May 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahahahaaaa nimemmiss sana dogo wangu ila ngoja nimsake hadi nimwone kabla sijalala....
  Poleni sana huku hakuna mvua ila kuna baridi kiasi tu
   
 18. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #18
  May 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Na "utumbo wa mbuzi" wanashughulika nao sana kule!
   
 19. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #19
  May 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Utakuwa ulienda kwa shughuli maalum.. Vp usipafahamu zenj?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #20
  May 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  gambachovu napafahamu Zenj pia coz nilienda Pemba kutokea huko lol
  Nilikuwa sikosi pale kwa Sultani kwenye juice ya miwa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...