Aah: Simba Kapakatwa jamani... !!

gambachovu napafahamu Zenj pia coz nilienda Pemba kutokea huko lol
Nilikuwa sikosi pale kwa Sultani kwenye juice ya miwa

Alaa.. Foro... Opp na Ngome Kongwe,na jumba liitwalo Bait la Jaib! Wamepakarabati siku hizi ni pa ukweli... Hata zile Bar mshenzi zimekuwa ni pub za maana... Kama una hela,ZNZ is aplace to be..

Ila iwe season za Dec-Jan...
 
Last edited by a moderator:
ok, we pumzika huku ukipunguza wallet yako....
Mie nipo kijijini huku, baridi halielezeki, natetemeka hadi utumbo........

Ningekuwa na mabawa mimi ningeruka kama ndege...
Nooh? Umeniudhi sana BADILI TABIA leo, kwenye ile post ya ushindi wa Maqongorroh, umewashabikia magamba mpaka umeniudhi.
Aaaagh...
 
Last edited by a moderator:
Ningekuwa na mabawa mimi ningeruka kama ndege...
Nooh? Umeniudhi sana BADILI TABIA leo, kwenye ile post ya ushindi wa Maqongorroh, umewashabikia magamba mpaka umeniudhi.
Aaaagh...

Mkuu Mphamvu aah.. Potezea bana...

Huku tunapunguza stress bana... C'mon..
 
Last edited by a moderator:
gambachovu hii makitu iko makumbusho sio?...kama vip kesho tuonane pale tukiwa tunasubiria foleni isogee!

BAGAH bana... Uko fasta sana! Ndiyo mkuu wangu.. Ya Makumbusho ile.. One day ntatimba pale...ntakustua tu!
 
Last edited by a moderator:
Alaa.. Foro... Opp na Ngome Kongwe,na jumba liitwalo Bait la Jaib! Wamepakarabati siku hizi ni pa ukweli... Hata zile Bar mshenzi zimekuwa ni pub za maana... Kama una hela,ZNZ is aplace to be..

Ila iwe season za Dec-Jan...

nasikia mwenzetu zanzibar waenda kwa kupiga mbizi...umetisha!
 
Alaa.. Foro... Opp na Ngome Kongwe,na jumba liitwalo Bait la Jaib! Wamepakarabati siku hizi ni pa ukweli... Hata zile Bar mshenzi zimekuwa ni pub za maana... Kama una hela,ZNZ is aplace to be..

Ila iwe season za Dec-Jan...
Dah ni kweli aisee...Ngoja niongee na huyo dogo BAGAH tuende tukale arua na tende walau wiki moja
 
Last edited by a moderator:
Dah ni kweli aisee...Ngoja niongee na huyo dogo BAGAH tuende tukale arua na tende walau wiki moja

Erickb52 hunipeleki huko mm...ndo wamekutuma ulete mwingine...haha!kama tende zapatikana kariakoo ntazisubiria huku ng'ambo!...una yako ndugu!...lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom