Aah: Simba Kapakatwa jamani... !!

Aah: Simba Kapakatwa jamani... !!

Unajua wakati tunakuja Dar miaka hiyo wajasiriamali wa 'umbeke' walikuwa bado kushika hatamu. Kwa hiyo kimbilio la wengi likawa Kibuku, hasa kwa vile ni pombe ya nafaka pia.
Ushawahi kunywa piwa gambachovu?

Hata sijawahi... Na haitatokea tuu! Loh!!
 
Last edited by a moderator:
Ungeulizia.. Wallh usingerudi... Wanyamapori watamu sana,utafaidi... Bakibaki kidogo!

akhuuuuuu kesho alfajiri naanza safari....sina hamu na huku, nishapiga mwereka mara 3 kisa mvua, baridi haina kipimo, nisije kupata ngiri mie
 
akhuuuuuu kesho alfajiri naanza safari....sina hamu na huku, nishapiga mwereka mara 3 kisa mvua, baridi haina kipimo, nisije kupata ngiri mie

Hujachelewa! Weka oda ya mnyama pori fasta usiku uletewe walau kiroba nyingine waachie!
 
Back
Top Bottom