platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,548
- 11,539
King'asti behave dada samtym jaribu kuonyesha ubin adam.usifanye mizaha kila mara kama ingekuwa simpo ivyo nyerere angekuwa rahc wa watz wote marehem
Sioni tatizo la King'asti ni ujumbe uliokaa kwenye usanii lakini pasipo kumdhalilisha mtu.
Au umesahau wimbo wa "Nenda Mwalimu" wa Parapanda Arts. Kuna watu mwanzo waliwaka sana
lakini walipoelewa wakatulia tulii.