Aaga dunia siku moja kabla ya kuhitimu Chuo Kikuu !!

Tetra

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Messages
1,520
Points
1,195

Tetra

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2012
1,520 1,195
Katika hali inayotia simanzi,dada mmoja Chuo Kikuu Cha Arusha ameaga dunia kwa ajali mbaya ya gari.Ambapo taarifa za awali (zisizo thibitishwa) zinaonyesha gari lilikuwa linaendeshwa na mumewe.Jana jioni mhitimu huyo mtarajiwa alionekana akifanya mazoezi ya kuvaa joho na kumatch.Mahafali ya kupata Degree yatafikia kilele hapo tarehe 2.Dec,2012 Chuo Kikuu cha Arusha..Mwanadam hana uamuzi na uhai wake,,Bwana ametoa Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
 
King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,720
Points
2,000

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,720 2,000
As long as matokeo yake yalishapitishwa na senate, nasi amehitimu digrii yake. Kama kuna vacancies huko aendapo anaweza kuapply. Kesho atatajwa na kupigiwa brass band na kutunukiwa digrii yake. Hongera marehemu, pumzika kwa amani.
 
solution

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2009
Messages
493
Points
195

solution

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2009
493 195
RIP Mhitimu!

Kawaida vifo vya naman hii huwa vimeshatokea moyoni kwa muathirika na ajali inahitsha tu!! ...alikuwa na deep conflicts ianyohizunguka kuikwaa degree yake .
 
Neylu

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Messages
2,823
Points
1,500

Neylu

JF-Expert Member
Joined May 28, 2012
2,823 1,500
Dah... Haya maisha kweli hayana maana..!! Dada wa watu kahangaika weee na shule mwisho wa siku hata degree yake haifaidi..!! R.I.P dada..!!
 
nameless girl

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
4,083
Points
2,000

nameless girl

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
4,083 2,000
..hahah hhah! why ask such a seroiuz question like this you lovel... named GIRL?
As long as matokeo yake yalishapitishwa na senate, nasi amehitimu digrii yake. Kama kuna vacancies huko aendapo anaweza kuapply. Kesho atatajwa na kupigiwa brass band na kutunukiwa digrii yake. Hongera marehemu, pumzika kwa amani.
 
Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,515
Points
1,500

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,515 1,500
As long as matokeo yake yalishapitishwa na senate, nasi amehitimu digrii yake. Kama kuna vacancies huko aendapo anaweza kuapply. Kesho atatajwa na kupigiwa brass band na kutunukiwa digrii yake. Hongera marehemu, pumzika kwa amani.
mmmh!! :-O
 
King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,720
Points
2,000

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,720 2,000
a u seriouz?
i am very serious. Kuhitimu chuo ni kufaulu mitihani. Kama alifaulu toka mwezi wa tisa, basi anapigiwa brass band na kutunukiwa shahada. Ndio utaratibu. Tena naona kama marehemu anapewa heshima kuliko graduants wote. Manake akitajwa mnasimama, anapigiwa peke yake. Wakati undergraduates mostly digrii hazitunukiwi mmoja mmoja, ni mafungu.
 
Forum statistics

Threads 1,390,629
Members 528,220
Posts 34,056,973
Top