TANZIA Prof. Eluether Mwageni wa Chuo Kikuu Ardhi afariki dunia

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,990
17,878
Profesa wa chuo kikuu Ardhi, Eleuther Mwageni amefariki dunia hii leo

Pia Profesa Eleuther Mwageni mnamo June 8, aliteuliwa na Rais Samia kuwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo CBE

Bwana ametoa,bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe.

PicTCU.jpg
Screenshot_20210727-151240_1.jpg
 
tumepoteza maprofesa wengi sana kwenye corona, na phd holders. sijui vyuo vyetu vitafundishwa na nani sasa.
 
Proffesor wa chuo kikuu Ardhi, Eleuther Mwageni amefariki dunia hii leo

Pia Professor Eleuther Mwageni mnamo June 8, aliteuliwa na Rais Samia kuwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo CBE

Bwana ametoa,bwana ametwaa, Jina lake lihimidiweView attachment 1870328View attachment 1870329

Apumzike kwa amani Prof huyu.

Hata kabla ya Corona watu walikuwa wanakufa. Wala hajakataa mtu.

Ila tuchukue tahadhari kwani hata Johnson Johnson toka kwa beberu kuanzia kesho rasmi.
 
Narudia tena; tangazo la wizara ya afya kuhusu kujikinga na UVIKO-19 kwa makusudi mazima halikueleza hatua za kuchukua mashuleni na vyuoni; liko silent kabisa kuhusu shule na vyuo!

Kwa misongamano iliyoko maeneo hayo; huko ni mazalia na usambazaji wa Corona. Watoto watabeba na kuwapelekea wazazi majumbani. Walimu na maprofesa ni makundi hatarashi haswa.
 
Suala la covid linaumiza akili sana
 
IMG_5200.jpg

Taarifa ya kifo cha Prof Mwageni inasikitisha mno.

Sijui Kwa nini watu wema huondoka haraka.

Kichwa kingine kimeondoka.

Rest Easy Sir.
 
Family Yao wamejaaliwa akili sana hawa, ana kaka yake ambayo ni Padre Mwageni alikuaga awe askofu wa ifakara Kama si morogoro…

Rest easy comrade!
 
Family Yao wamejaaliwa akili sana hawa, ana kaka yake ambayo ni Padre Mwageni alikuaga awe askofu wa ifakara Kama si morogoro…

Rest easy comrade!

Such a kind person
Ukienda kuzungumza nae anakusikiliza na kukupa suluhu
MUNGU amlaze mahali Pema peponi
 
Back
Top Bottom