Aaga dunia siku moja kabla ya kuhitimu Chuo Kikuu !!

As long as matokeo yake yalishapitishwa na senate, nasi amehitimu digrii yake. Kama kuna vacancies huko aendapo anaweza kuapply. Kesho atatajwa na kupigiwa brass band na kutunukiwa digrii yake. Hongera marehemu, pumzika kwa amani.

kwani wewe hujaenda msiba wa mhaya? Hawasomi historia ya marehemu, inakuwa ni cv. Hadi short courses as long as ni ulaya wanazitaja. Ina maana huko mbinguni sijui peponi kama kuna ac inakorofisha si wataitisha wahandisi?
 
hii ni dompo+valu+ kiroba
 
As long as matokeo yake yalishapitishwa na senate, nasi amehitimu digrii yake. Kama kuna vacancies huko aendapo anaweza kuapply. Kesho atatajwa na kupigiwa brass band na kutunukiwa digrii yake. Hongera marehemu, pumzika kwa amani.

Astaghafilullah!
 
kwani wewe hujaenda msiba wa mhaya? Hawasomi historia ya marehemu, inakuwa ni cv. Hadi short courses as long as ni ulaya wanazitaja. Ina maana huko mbinguni sijui peponi kama kuna ac inakorofisha si wataitisha wahandisi?
alafu ana apply wapi? according to King'asti
 
Umenitonesha kidonda
nilifiwa na rafiki yangu chuo huku nashuhudia baada ya kumaliza test two bado kama wiki 2 tuanze kufanya final exam za last year
aiseee sitaki kukumbuka lakini acha nishare na nyinyi hii story
ilikuwa ijumaa usiku baada ya kumaliza test two rummates wa my best waliondoka wote akabakia yeye tulipanga kuondoka kurudi home kesho(jumamosi) akaenda bafuni kuoga presha ikampanda akaanguka bahat wanafunzi wakamuona kujazana na mimi nikaenda bahat nzuri akawa na nguvu akaja rum nikamsaidia kuvaa anashuka ngazi kwenda kuchukua tax tuende hospital.Tena alitangulia kushuka mwenyewe mpaka kwenye tax mimi nipo nyuma namfata akaniambia''bwana ......fanya haraka tunachelewa najisikia vibaya'' tupo kwenye mpaka tukafika hospital regency tupo mapokezi tunaandikisha akazidiwa tena na kuanguka hapohapo ikawa ndo mwisho wa maisha yake( RIP MY BEST,MY DADA) kila nikipata mda na nafasi ninakusomea kisomo.
Sitosahau 5/7 2010
King'asti kama kuna kazi huko unapopasema am sure wamepata a very good auditor
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom