As long as matokeo yake yalishapitishwa na senate, nasi amehitimu digrii yake. Kama kuna vacancies huko aendapo anaweza kuapply. Kesho atatajwa na kupigiwa brass band na kutunukiwa digrii yake. Hongera marehemu, pumzika kwa amani.
Huyu mtoto siku hizi anakunywa viroba ati.
..hahah hhah! why ask such a seroiuz question like this you lovel... named GIRL?
Umenitonesha kidonda
nilifiwa na rafiki yangu chuo huku nashuhudia baada ya kumaliza test two bado kama wiki 2 tuanze kufanya final exam za last year
aiseee sitaki kukumbuka lakini acha nishare na nyinyi hii story
ilikuwa ijumaa usiku baada ya kumaliza test two rummates wa my best waliondoka wote akabakia yeye tulipanga kuondoka kurudi home kesho(jumamosi) akaenda bafuni kuoga presha ikampanda akaanguka bahat wanafunzi wakamuona kujazana na mimi nikaenda bahat nzuri akawa na nguvu akaja rum nikamsaidia kuvaa anashuka ngazi kwenda kuchukua tax tuende hospital.Tena alitangulia kushuka mwenyewe mpaka kwenye tax mimi nipo nyuma namfata akaniambia''bwana ......fanya haraka tunachelewa najisikia vibaya'' tupo kwenye mpaka tukafika hospital regency tupo mapokezi tunaandikisha akazidiwa tena na kuanguka hapohapo ikawa ndo mwisho wa maisha yake( RIP MY BEST,MY DADA) kila nikipata mda na nafasi ninakusomea kisomo.
Sitosahau 5/7 2010
King'asti kama kuna kazi huko unapopasema am sure wamepata a very good auditor
No wonder why Nyerere aliamua kutulisha unga wa mahindi wa njano. Effects zake tunaanza kuziona nowdays. Marehemu apumzike kwa amani.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
yaani wewe unahisi mbinguni hamna kazi? Sasa nani anamanage issues huko, kama umeme ukikatika na kuna electrical engineers si watatumia? Mi sijafika mbinguni bado, all im left with os imaginations. My mom is there, she was a good woman. Najua vijana wote ni marafiki zake na anawapa ushauri nasaha. God cant let her talent go to waste, hicho ndo faraja yangu.l was suprzd kusikia kuwa anaweza kuaaply huko aendako!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Its sad n i stil can't blv what hapened.. I saw her yesterday 9t n she was really happy in her regalia..
ama kweli kaziye Mola..
yaani wewe unahisi mbinguni hamna kazi? Sasa nani anamanage issues huko, kama umeme ukikatika na kuna electrical engineers si watatumia? Mi sijafika mbinguni bado, all im left with os imaginations. My mom is there, she was a good woman. Najua vijana wote ni marafiki zake na anawapa ushauri nasaha. God cant let her talent go to waste, hicho ndo faraja yangu.
Very true, as long as results are good, unahitimu kama marehemu. I saw this kwenye grad yetu, RIP Madam.
Msiba ni mtihani, ile kufikiria tu kwamba huyu mtu niliempenda sitamuona tena ni pigo tosha.
Hata Osama kuna wanaomlilia mpaka leo........Na kuna pia wanaomkumbuka Hitler kwa mazuri umpaka leo.
BTW King'a vipi mning'inio !!!
ni kweli, hata osama ni mtoto, baba na mume wa watu. Inaumiza na kila wakati ni muhimu kuwa positive kwa ajili ya walioguswa zaidi. Miaka 20+ sasa toka nifiwe na kaka, na 8 yrs toka afariki mama. I know what im talking of aisee. Walau dini inatufariji kuwa kuna after life.
twende chitchat nikakupe feedback ya mning'inio. Hapa tunaomboleza. Kwanza si utakuja kwenye besdei ya Paw? Uniletee mzinga mmoja nizimue
Katika hali inayotia simanzi,dada mmoja Chuo Kikuu Cha Arusha ameaga dunia kwa ajali mbaya ya gari.Ambapo taarifa za awali (zisizo thibitishwa) zinaonyesha gari lilikuwa linaendeshwa na mumewe.Jana jioni mhitimu huyo mtarajiwa alionekana akifanya mazoezi ya kuvaa joho na kumatch.Mahafali ya kupata Degree yatafikia kilele hapo tarehe 2.Dec,2012 Chuo Kikuu cha Arusha..Mwanadam hana uamuzi na uhai wake,,Bwana ametoa Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
hahahaah, mie wa zamani ila sikuwahi kula unga wa yanga wala mafuta ya mawese. Babangu alikuwa fisadi kama mamake Natalia, basi tu simpaishi.
Tetra Hebu funguka kidogo kwani wengine ndiyo ngome zetu huku,Ni sehemu gani ni chuo kikuu kipi hicho,Mi kwangu binafsi bado sijakunyaka vema!
Anyway,yote kwa yote Marehemu sister yetu MUNGU ampe pumziko la milele katika shamba la Bwana wetu!
As long as matokeo yake yalishapitishwa na senate, nasi amehitimu digrii yake. Kama kuna vacancies huko aendapo anaweza kuapply. Kesho atatajwa na kupigiwa brass band na kutunukiwa digrii yake. Hongera marehemu, pumzika kwa amani.
Ndo nafika eneo la ajali,gari limekatika vipande viwili,,ni barabara ya kwenda Chuo Kikuu cha Arusha(U.O.A) eneo la Ngurudoto,,gari iliacha njia na iligonga nguzo ya umeme na jina la marehemu ni Elizabeth Mero