A special day

A special day

u could cmply do it with ur family,. Unamjua nani hapa?
 
Nimefurahi rafiki kwamba nimeweza kukumbusha mwaka 47 lol!!! 🙂🙂

Hahahahahahahaha asante sana rafiki .Duh hapo nilipobold umenisaidia kukumbuka mwaka ambao nilikua age hiyo lol ni siku nyingi sana.
 
,...kwahyo hao walio ku wish wawajua...
Acha taarabu
Nimezingatia hiki ulichoandika mwanzo na ndicho ninachokujibu; "u could cmply do it with ur family,. Unamjua nani hapa?"
 
Nimezingatia hiki ulichoandika mwanzo na ndicho ninachokujibu; "u could cmply do it with ur family,. Unamjua nani hapa?"

namaanisha..nlichopost,..
Nani wa MMU...ameshiriki zima mishumaa.? Nisamehe kama naku boa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom