A special day

A special day

Uwe nuru ya Mungu popote utakapokuwa,ukapate kumiliki na kutawala naye atakuinua zaidi.Ila usiache kumtumikia.Heri ya sikukuu ya kuzaliwa

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
hivi mimi jamani nilikua wapi mpaka nimechelewa kumtakia happy birthday

my sweet friend Ablessed.......
 
Last edited by a moderator:

hata mimi jamani kaah......! Tunastahili kuchapwa

HAPPY BIRTHDAY DADA MKUBWA Ablessed japokuwa tumechelew ila tunakupenda sana na Mungu akupe miaka mingi ya uhai na baraka tele
 
Last edited by a moderator:
rafiki yangu na pacha Ablessed
unisamehe tu pacha wangu..... naamini unajua nimekamatwa sana, ingawa najisikia vibaya sana sikuweza kukuanzishia huu uzi, nilitamani ingekuwa hivyo....
hata hivyo
105.jpg.gif
 
Chezeya BAK weye hahahahaha lol! Nimekufukunyua ulikojificha lol! nimefurahi kuona umeitikia mwito wa BAK 🙂🙂 Mzima weye!? Pacha alikuwa kaanza kutoa mchozi kwa kukosekana kwako lol! Nikasema isiwe tabu.

rafiki yangu na pacha Ablessed
unisamehe tu pacha wangu..... naamini unajua nimekamatwa sana, ingawa najisikia vibaya sana sikuweza kukuanzishia huu uzi, nilitamani ingekuwa hivyo....
hata hivyo
105.jpg.gif
 
Hahahahahaha hebu nimwite twin Fixed Point aje athibishe hili lol. Hivi nikirudi huko nyuma ina maana kila kitu kirudi kule au narudi mie tu halafu mengine yanaendelea
ha haaa, mi naona rudi na vitu vya sasa maana naona unajisikia raha sana kuwa na vitu vya sasa, lol!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hata mimi jamani kaah......! Tunastahili kuchapwa

HAPPY BIRTHDAY DADA MKUBWA Ablessed japokuwa tumechelew ila tunakupenda sana na Mungu akupe miaka mingi ya uhai na baraka tele

my wii tunatakiwa tuchapwe,ndo kusema hawa waume zetu wanatufungia

kiasi hiki hadi tunashindwa kujua mtaa wa pili kuna nini!!!!!!!!
 
Uwe nuru ya Mungu popote utakapokuwa,ukapate kumiliki na kutawala naye atakuinua zaidi.Ila usiache kumtumikia.Heri ya sikukuu ya kuzaliwa

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Amen mkuu
 
hivi mimi jamani nilikua wapi mpaka nimechelewa kumtakia happy birthday

my sweet friend Ablessed.......
Jamani hujachelewa halafu mambo mengi rafiki ndio maana si vema kulaumiana lkn ndio hivyo tena umeikosa keki. Asante sana kwa kujali
 
hata mimi jamani kaah......! Tunastahili kuchapwa

HAPPY BIRTHDAY DADA MKUBWA Ablessed japokuwa tumechelew ila tunakupenda sana na Mungu akupe miaka mingi ya uhai na baraka tele
Ameen nashukuru na nimefurahi sana chezea kupendwa weye.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom