A special day

A special day

namaanisha..nlichopost,..
Nani wa MMU...ameshiriki zima mishumaa.? Nisamehe kama naku boa
Mkuu huwezi kuniboa hapo ondoa shaka kwani tupo humu ili kufurahi na na-accept every comment hata kama ni negative. Nakukaribisha kuzima mishumaa ingawa imeshakua usiku but next time nitakuinvite early.
 
For real happy birth day....my wish is u continue to be GOOD woman.....ur very GOOD and INTELIGENT woman....sijaka sana JF lakini naona kupitia post zako.....uendelee kuwa hivyo....god bless u
 
Happy birthday Ablessed!I hope you have a wonderful day :smile-big:
Yes dear it was a wonderful day hasa wanangu wameni-surprise sikutegemea . Unajua waliamka saa sita usiku kuni-wish
 
For real happy birth day....my wish is u continue to be GOOD woman.....ur very GOOD and INTELIGENT woman....sijaka sana JF lakini naona kupitia post zako.....uendelee kuwa hivyo....god bless u
Oooh my dear thank you very much. Jamani unataka kunifanya nitanuke kichwa lol asante sana.
 
lol! hahahahaha umejiona jinsi ulivyokuwa binti enzi zako. 🙂🙂
Hahahahaha natamani siku zirudi nyuma niwe kama Enzi hizo. Lkn kwa bahati mbaya maisha yamebadilika sana hata nikipewa uchaguzi wa kurudi nyuma nitakataa aisee .
 
Oooh my dear thank you very much. Jamani unataka kunifanya nitanuke kichwa lol asante sana.
.........kuna moment unapata unamweleza mtu ukweli alivyo.....im speaking my mind....coz nakumbuka pia wakati mimi ni mgeni naanza kupost ni mtu wa kwnza kwanza kuni-quote but very wisely....nsiseme sana you can review in ur profile......u just be blessed more and more
 
Naogopa kusema banaaa...Chezeya maraha ya siku hizi weye!!!! na ukilinganisha na mwaka 47!!! Nani atataka kurudi mwaka 47!!!! Kwi kwi kwi kwi una kila sababu ya kukataa kurudi mwaka 47. 🙂🙂

Hahahahaha natamani siku zirudi nyuma niwe kama Enzi hizo. Lkn kwa bahati mbaya maisha yamebadilika sana hata nikipewa uchaguzi wa kurudi nyuma nitakataa aisee .
 
Naogopa kusema banaaa...Chezeya maraha ya siku hizi weye!!!! na ukilinganisha na mwaka 47!!! Nani atataka kurudi mwaka 47!!!! Kwi kwi kwi kwi una kila sababu ya kukataa kurudi mwaka 47. 🙂🙂

Hahahahahahaha hapana bwana mbona maraha yalikuwepo tu bhana. Unajua kila nyakati zina vionjo vyake na vinafaa kwa wakati wake.
 
Hilo nalijua rafiki kwamba kila nyakati zina vionjo vyake lakini hivi vionjo vya sasa ni vitamu mnooo tena kwa raha zako🙂🙂 ndio maana umegoma kurudi mwaka 47 lol!!

Hahahahahahaha hapana bwana mbona maraha yalikuwepo tu bhana. Unajua kila nyakati zina vionjo vyake na vinafaa kwa wakati wake.
 
.........kuna moment unapata unamweleza mtu ukweli alivyo.....im speaking my mind....coz nakumbuka pia wakati mimi ni mgeni naanza kupost ni mtu wa kwnza kwanza kuni-quote but very wisely....nsiseme sana you can review in ur profile......u just be blessed more and more
Be blessed abundantly
 
Hilo nalijua rafiki kwamba kila nyakati zina vionjo vyake lakini hivi vionjo vya sasa ni vitamu mnooo tena kwa raha zako🙂🙂 ndio maana umegoma kurudi mwaka 47 lol!!
Hahahahahaha hebu nimwite twin Fixed Point aje athibishe hili lol. Hivi nikirudi huko nyuma ina maana kila kitu kirudi kule au narudi mie tu halafu mengine yanaendelea
 
Last edited by a moderator:
Hahahahah lol! ngoja nikutafutie pacha wako aje huku. Kila kitu kinarudi mwaka 47 🙂🙂. Ila huyu pacha wako Fixed Point kumpata leo si rahisi nitajitahidi kukutafutia kesho ili aje asherehekee hii siku kubwa kwako na pia aje athibitishe au kunanusha 🙂🙂

Hahahahahahaha natanguliza shukrani.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom