A special day

A special day

lol!! naona umegoma kurudi mwenyewe 🙂🙂 haya rukhsa kurudi enzi hizo na na kila kitu cha leo...mbona itakuwa raha. Good day 🙂🙂

My dear asante sana najua umebanwa wala usijali. BAK noumaa kakupigia kelele mpaka ukashindwa kulala jamani, nilisikia akikuita . Unajua mimi nilimwambia kurudi nyuma nzuri lkn yeye akasema eti mambo ya kisasa ni mazuri kuzidi ya nyuma ndio nikasema ngoja aje twin athibitishe kama kuna ukweli. Halafu swali nililomuuliza akalikwepa hakulijibu, "Hivi nikirudi huko nyuma ina maana kila kitu kirudi kule au narudi mie tu halafu mengine yanaendelea"
 
haaaa we pacha usidanganyike
huyo mumeo kama hakupi ruhusa
anataka kukugeuza sufuria?yani ukae ndani tu?
toroka bana,mi mwenyewe namtoroka loya aalaaa!!!!!
 
haaaa we pacha usidanganyike
huyo mumeo kama hakupi ruhusa
anataka kukugeuza sufuria?yani ukae ndani tu?
toroka bana,mi mwenyewe namtoroka loya aalaaa!!!!!

hahahaaa....... Pacha nataka nitorokee mtaa wa kule chini kabisa nasikia leo kuna baikoko la kiume ndio wanasanua atii!!!!!!!
 
hahahaaa....... Pacha nataka nitorokee mtaa wa kule chini kabisa nasikia leo kuna baikoko la kiume ndio wanasanua atii!!!!!!!

hahahaaa!!baikoko la kiume?
nipitie na mimi natorokea mlango
wa nyuma ili twende wote mweeeh!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom