A special day

A special day

rafiki yangu na pacha Ablessed
unisamehe tu pacha wangu..... naamini unajua nimekamatwa sana, ingawa najisikia vibaya sana sikuweza kukuanzishia huu uzi, nilitamani ingekuwa hivyo....
hata hivyo
My dear asante sana najua umebanwa wala usijali. BAK noumaa kakupigia kelele mpaka ukashindwa kulala jamani, nilisikia akikuita . Unajua mimi nilimwambia kurudi nyuma nzuri lkn yeye akasema eti mambo ya kisasa ni mazuri kuzidi ya nyuma ndio nikasema ngoja aje twin athibitishe kama kuna ukweli. Halafu swali nililomuuliza akalikwepa hakulijibu, "Hivi nikirudi huko nyuma ina maana kila kitu kirudi kule au narudi mie tu halafu mengine yanaendelea"
 
Last edited by a moderator:
Chezeya BAK weye hahahahaha lol! Nimekufukunyua ulikojificha lol! nimefurahi kuona umeitikia mwito wa BAK 🙂🙂 Mzima weye!? Pacha alikuwa kaanza kutoa mchozi kwa kukosekana kwako lol! Nikasema isiwe tabu.
Nakuaminia rafiki yaani ule ukulele haukwenda bure asante sana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
better late than never

Happy birthday Ablessed..long live dear
 
Last edited by a moderator:
Chezeya BAK weye hahahahaha lol! Nimekufukunyua ulikojificha lol! nimefurahi kuona umeitikia mwito wa BAK 🙂🙂 Mzima weye!? Pacha alikuwa kaanza kutoa mchozi kwa kukosekana kwako lol! Nikasema isiwe tabu.
ha haaa, asante sana kwa kunishautia rafiki.......
uwe unafanya hivi hivi watu wakinitafuta.....
Barikiwa sana
 
My dear asante sana najua umebanwa wala usijali. BAK noumaa kakupigia kelele mpaka ukashindwa kulala jamani, nilisikia akikuita . Unajua mimi nilimwambia kurudi nyuma nzuri lkn yeye akasema eti mambo ya kisasa ni mazuri kuzidi ya nyuma ndio nikasema ngoja aje twin athibitishe kama kuna ukweli. Halafu swali nililomuuliza akalikwepa hakulijibu, "Hivi nikirudi huko nyuma ina maana kila kitu kirudi kule au narudi mie tu halafu mengine yanaendelea"
ha haaa ngoja aje akujibu
 
my wii tunatakiwa tuchapwe,ndo kusema hawa waume zetu wanatufungia

kiasi hiki hadi tunashindwa kujua mtaa wa pili kuna nini!!!!!!!!

tumesamehewa my wii, sikunyingine hawa waume zetu wakitufungia tuwe tunatoroka,,,, mwishowe tutapitwa na mambo mazuri ya mtaa wa pili
 
Hapana kabisa dada mdogo usitoroke kwa mumeo hata siku moja usipoangalia atakuondolea wafanya kazi wote wanaokusaidia kwenye huo mjumba ulojengewa. Omba ruhusu asiporidhia basi kaa home. Hivi ile vacancy ya housemaid ilisha isha eeeeh .
 
bday s.jpg Happy Birth day lol...........
 
Happy Birthday Ablessed
Mungu akupe maisha marefu km bi Kidudeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Hapana kabisa dada mdogo usitoroke kwa mumeo hata siku moja usipoangalia atakuondolea wafanya kazi wote wanaokusaidia kwenye huo mjumba ulojengewa. Omba ruhusu asiporidhia basi kaa home. Hivi ile vacancy ya housemaid ilisha isha eeeeh .

sawa dada yangu, nimekusikia, sitotoroka ila shemejio Arushaone nimgumu sana kutoa ruhusa labda uwe unaniombea!

Ile ilisha isha maana kwa upande wa kike yupo cousin wangu ladyfurahia na pacha wangu Passion Lady maana walinishauri nichukue ndugu nisije nikaibiwa
na kwa upande wa wanaume yupo Mentor na Mkirua ( Mamndenyi ) asipaone hapa!
 
Last edited by a moderator:
binamu jamani uishi vituko wewe haya bhana nina la kusema jingine
sawa dada yangu, nimekusikia, sitotoroka ila shemejio Arushaone nimgumu sana kutoa ruhusa labda uwe unaniombea!

Ile ilisha isha maana kwa upande wa kike yupo cousin wangu ladyfurahia na pacha wangu Passion Lady maana walinishauri nichukue ndugu nisije nikaibiwa
na kwa upande wa wanaume yupo Mentor na Mkirua ( Mamndenyi ) asipaone hapa!
 
Happy birthday Ablessed...long life n good health is what i wish for you!!!!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom