Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,075
- 33,784
WTF BRUH🤣🤣🤣will you be my favorite dck eater?
WTF BRUH🤣🤣🤣will you be my favorite dck eater?
Mungu nifundishe kunyamazaWTF BRUH🤣🤣🤣
007 Agent makini hujua kucheza na fursa, we tulia hapo mkuu.Kutoka kuwa 007 hadi phycologist kudadadeki 😂 😂
Kaka yao Mshana Jr aliwakataza hizo habariHuyu anashindwa kuelewa kwamba kwa umri huo yeye anatakiwa atafute tu anaepumua 😀😀
Hii comment yako inachekesha sana 😂Mungu nifundishe kunyamaza
Hapana mkuu, mnamkosea sana binti.Huyu anashindwa kuelewa kwamba kwa umri huo yeye anatakiwa atafute tu anaepumua 😀😀
Sema huyu msakaji nimemkubali, yuko bampa to bampa na uzi wake kukabiliana na comment nzito nzito zenye ncha kali.Kila la kheri kwako, na ufanikiwe ktk hitaji lako.
ni kweli nna uhitaji, kama kuna kigezo kimepungua still tunaweza kuzungumza, naamini kama ni ujobless ni suala la muda tu siku mambo yatakua sawa ,muhimu ni kuwa na mipango thabitiWajumbe katika pitapita zangu nimejikwaa na kudondokea humu, kiukweli huyu dada anaonyesha ni mwenye uhitaji ila vigezo vyake binafsi vimenishinda.
Kigezo kikubwa kigumu ni kuwa Jobless Pro Max, kwa hisani ya chama chetu wajumbe tumuombee apate kile anachostahili.
Nawaalika kwenye maombi na siyo kuupeleka mbio uzi wa binti huyu muhitaji.
Nomadix ulikuwa unatafuta rafiki wa kike wakuganga nae yajayo, pitia hapa uone kama atakufaa.
Intelligent businessman Selikavu Edo kissy dosho12
Thank you 😊All the best
Atasubili Sana tena asiwe na mtoto...Hi Brother Short.😃 Usijali hizo Condition zake, Nenda Jaribu Bahati yako . Hawezi pata mtu wa age hiyo awe Employed au Business nini sijui , Na visifa zingine nyingi nyingi . halafu bado awe Single Hayupo🤣🤣
Usimhukumu mtu sana,kuwa na umri mkubwa haimaanishi kuwa huyo mtu alikua mhuni.Baada ya kuitembeza vya kutosha, anatafutwa simp aliyehangaika kujijenga kwa miaka akahangaike na emotional damages and traumas na shimo. 😁
Nimeupokea ushauri wako, thank youMimi huwa naona MTU Kama anatafute mme aandike hivi
Nahitaji Mme
Age 33-40
Hii inatosha Ila unasema must have business or employed
Ukimaanisha nini ???
I don't think MTU ambaye hana shughuli akakufata na akiwa anayo what if he gonna be fired , or lose his capital.
Ukitafuta mwanaume tafuta mwanaume
Mbona sisi tunao broke women ,dumber ,prostitute na hatuwawekei masharti
Siyo kweliWengi wanaokuja na hizi nyuzi sijui Natafuta mme,ni wale matapeli wa tuma kwa namba hii,na wapo ktk mfumo ule wa kule Facebook mtu anakuja messenger anakutumia ujumbe unaosomeka umeshapata hizi hela za Bure kutoka UN,mara tuma namba nikuunge nawewe upate.tuwe makini kweli kweli.
Comments nzuri na nzito ni muhimu kumpa mtu uimara, so nitazipokea zote positivelySema huyu msakaji nimemkubali, yuko bampa to bampa na uzi wake kukabiliana na comment nzito nzito zenye ncha kali.
Wengine hiwa wana post tangazo halaf wanatoka nduki, commend wanasoma kwa mbaaali😂😂😂
uko vizuri.Comments nzuri na nzito ni muhimu kumpa mtu uimara, so nitazipokea zote positively
Karibu tezeeke pamoja, Mungu akitujaalia uzima007 Agent makini hujua kucheza na fursa, we tulia hapo mkuu.
Miaka 37 bado nipo single kwanini nisijitulize kwa bibie hapa.