A serious single man is needed age btwn 33 to 42 yrs old

A serious single man is needed age btwn 33 to 42 yrs old

Prisha hujapata au umefunga uwanja wa pm??

Kwa vijana wa jf wakose kutupiamo huko piemu au na wewe unachagua sana??
 
Kama huyu Prisha anaejibu hapa ndie huyo huyo wa mtaani basi uko njema.

Tatizo kubwa la kina dada above 25 yrs huwa ni kutaka mwanaume wa kufukia mashimo ya maumivu uliyopitia.
Ni wachache wasio na mtazamo huo.

Kuna pisi apo juu imekupa ushauri wa kupoa na chalii hata ya 27 yrs inayojielewa. Zingatia ushauri wake kabla hujatumiwa na waume za watu.

Dr Vishu Mtata JF psychologist.
Ni mimi huyu huyu wala hakuna tofauti, kuhusu kijana mdogo kuliko mimi, I won't be comfortable, natamani kupata mzee mwenzangu.
 
Hello Prisha
Niko hapa kama utakuwa interested kuwa mchepuko wangu until utakapo pata mtu wa kukuoa ili usiteseke coz nishaoa.
1. I'm Christian, tall and black
2. I'm a family man tayari nina mke na watoto 3 + nishafanya vasectomy so usiwaje kuhusu kukupa mimba
3. I own my own businesses and so so
4. Nitakupangia apartment sehemu utakayo hitaji+ monthly allowance pamoja na upkeep zingine.
5. Jiandae kwaajili ya alot of vacations kwasababu ya nature ya shughuli zangu huwa nasafiri sana, hapo uwe na passport, international driving licenses, certificates ya homa ya ini, na manjano pamoja na cheti cha Covid 19
Kama utakuwa interested njoo PM
Ahsante kwa offer yako, ila natamani nipate mwenzangu tuanze familia,watoto wetu nk.
 
Ni mimi huyu huyu wala hakuna tofauti, kuhusu kijana mdogo kuliko mimi, I won't be comfortable, natamani kupata mzee mwenzangu.
Kwanini unajiita mzee?

Na wewe umeingia kwenye huo mtego wa wanajf??
33 yrs sio mzee.

Kuna binti ni mzuri ako na 2 kids na miaka yake 30 ila anajiona mzee, anavaa kizee na kujiita hivyo.
Na wewe uko namna hiyo??
 
ni kweli nna uhitaji, kama kuna kigezo kimepungua still tunaweza kuzungumza, naamini kama ni ujobless ni suala la muda tu siku mambo yatakua sawa ,muhimu ni kuwa na mipango thabiti
Stay blessed lady, isiwe katika maandishi na uhalisia iwe hivyo.

Ma jobless pro max mme kumbukwa Razorblade, @Selikavu,dosho12, Edo kissy.

Wakubali wote ila sio hii pimbi Kijana Masikini au Half american panya wabaka wakubwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom