Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,976
- 12,453
Ni vile tu wanaogopa kujitokeza mtawapopoa 😂Kwa humu jf ni ngumu na haiwezekani
Ni vile tu wanaogopa kujitokeza mtawapopoa 😂Kwa humu jf ni ngumu na haiwezekani
🤣ME, msitufanyie ivo jamenemployed or he must have a business, wewe una kuja na kipi Cha maana au ni mawigi ya Brazil?
sio kwa ubaya ila huwezi taka usicho stahili, yaani I build myself for a long time.🤣ME, msitufanyie ivo jamen
Yaani uji jenge wee, halafu uje ukutane na random person ambaye ana wish a happy ending.Mimi huwa naona MTU Kama anatafute mme aandike hivi
Nahitaji Mme
Age 33-40
Hii inatosha Ila unasema must have business or employed
Ukimaanisha nini ???
I don't think MTU ambaye hana shughuli akakufata na akiwa anayo what if he gonna be fired , or lose his capital.
Ukitafuta mwanaume tafuta mwanaume
Mbona sisi tunao broke women ,dumber ,prostitute na hatuwawekei masharti
Mkikosa sifa mnaanza masawali😂employed or he must have a business, wewe una kuja na kipi Cha maana au ni mawigi ya Brazil?
Kaka sifa nisiyo kuwa nayo ni umri tu, vingine hata yeye na wenzie bado mnoMkikosa sifa mnaanza masawali😂
Kaka sifa nisiyo kuwa nayo ni umri tu, vingine hata yeye na wenzie bado mno
Jobless tunakosa mengi sana 😂Wajumbe katika pitapita zangu nimejikwaa na kudondokea humu, kiukweli huyu dada anaonyesha ni mwenye uhitaji ila vigezo vyake binafsi vimenishinda.
Kigezo kikubwa kigumu ni kuwa Jobless Pro Max, kwa hisani ya chama chetu wajumbe tumuombee apate kile anachostahili.
Nawaalika kwenye maombi na siyo kuupeleka mbio uzi wa binti huyu muhitaji.
Nomadix ulikuwa unatafuta rafiki wa kike wakuganga nae yajayo, pitia hapa uone kama atakufaa.
Intelligent businessman Selikavu Edo kissy dosho12
Ebu tuoneMume yupo katikati yetu🤣🤣
19+ ndiyo mwongozo Mkuu 😃 😁Hao ndo wazuri kaka hawana mambo mengi... In Razorblade Voice🤣🤣
Kigezo mojawapo ni lazima bikra iwepo 🔥Yaani uji jenge wee, halafu uje ukutane na random person ambaye ana wish a happy ending.
Siku nita andika post ya kutaka mchumba, hivyo vigezo lazima wakasirike!
Ina sikitisha sanaKigezo mojawapo ni lazima bikra iwepo 🔥