- Thread starter
- #241
Tena ni mshono mbichi unaouma, ila namshukuru Mungu sijawahi kutoa ujauzito, msinihukumu bila kuufahamu ukweli.😆😆😆umepiga kwenye mshono kiongozi
Tena ni mshono mbichi unaouma, ila namshukuru Mungu sijawahi kutoa ujauzito, msinihukumu bila kuufahamu ukweli.😆😆😆umepiga kwenye mshono kiongozi
Amini hutafika hukoUsiniombee nifikie huko😔
Amina ahsante 🙏Amini hutafika huko
bado hujapata kwan dada ?Naishi Dar es salaam, karibu sana
Mgane anaweza asiwe na mtoto.Huyo ni mgane
Too far, nipo mwanza may be kwa kuchati.Naishi Dar es salaam, karibu sana
Ni kweli na ahsante kwa ushauriwe umeshatoka kwenye chart za top 20, soko lako gumu, vigezo vingi vya nini? km vile unatoa mkopo! we mkubali yeyote ilimradi anapumua tu.
Ahsante 👏Relationship matters ukimpata mtu mshikilie muheshimiane mpendane mtulie msirukeruke kwa kila mtu
Ila palipo na upendo hakuna umbali, you'll find a way to keep your love aliveToo far, nipo mwanza may be kwa kuchati.
You wanna try or do ?Ila palipo na upendo hakuna umbali, you'll find a way to keep your love alive
No trials, if we do we doYou wanna try or do ?
Check PMNo trials, if we do we do
HellowNiko hapa njoo tuyajenge
Umeshapata kazi Pagan, au niendelee kukusubiri?Ngoja nitafute kazi niwe employed ndio nije pm