Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,447
Ina sikitisha sanaIla wanaume tunaonewa sana, usipokuwa makini unajiingiza kwenye mdomo wa mamba mwnyw
Ina sikitisha sanaIla wanaume tunaonewa sana, usipokuwa makini unajiingiza kwenye mdomo wa mamba mwnyw
Si baba Cammila kuna nani zaidi yake🤣🤣🤣Ebu tuone
Wengi wanaokuja na hizi nyuzi sijui Natafuta mme,ni wale matapeli wa tuma kwa namba hii,na wapo ktk mfumo ule wa kule Facebook mtu anakuja messenger anakutumia ujumbe unaosomeka umeshapata hizi hela za Bure kutoka UN,mara tuma namba nikuunge nawewe upate.tuwe makini kweli kweli.Ila wanaume tunaonewa sana, usipokuwa makini unajiingiza kwenye mdomo wa mamba mwnyw
Intelligent businessmanSi baba Cammila kuna nani zaidi yake🤣🤣🤣
Cammilla mchuchu ona hii😊😂🦅Si baba Cammila kuna nani zaidi yake🤣🤣🤣
Mchumba gani tena..wewe kaka mbona hivoYaani uji jenge wee, halafu uje ukutane na random person ambaye ana wish a happy ending.
Siku nita andika post ya kutaka mchumba, hivyo vigezo lazima wakasirike!
will you be my favorite dck eater?Mchumba gani tena..wewe kaka mbona hivo
Nita fanyaje sasa 😂 🤣Aah umeona umelete mamtu na huku tena🤣🤣🤣
Fungua PM mrembo...Holla! i'm a lady age 33yrs old,Christian, i have no kids, am looking for a single man for a serious relationship with future, he should be 33yrs to 42yrs old,tall,christian,with no or not more than one kid, employed/business.
let's chat via pm.
regards.
Prisha.
Mungu nifundishe kunyamazawill you be my favorite dck eater?
Una muogopa nani?, arrghh nimesha jua kudadadekiMungu nifundishe kunyamaza
Mahi godi wati izi zisi? 😂will you be my favorite dck eater?
Cammilla ana jua 😂🦅Mahi godi wati izi zisi? 😂
Kutoka kuwa 007 hadi phycologist kudadadeki 😂 😂Kama huyu Prisha anaejibu hapa ndie huyo huyo wa mtaani basi uko njema.
Tatizo kubwa la kina dada above 25 yrs huwa ni kutaka mwanaume wa kufukia mashimo ya maumivu uliyopitia.
Ni wachache wasio na mtazamo huo.
Kuna pisi apo juu imekupa ushauri wa kupoa na chalii hata ya 27 yrs inayojielewa. Zingatia ushauri wake kabla hujatumiwa na waume za watu.
Dr Vishu Mtata JF psychologist.