Mbagala stendi
JF-Expert Member
- Nov 8, 2020
- 343
- 407
Hapo tunarudi pale mwanzo what matter is virulence load, mwenye maambukizi ya juu strain atakayo isambaza itakuwa kali na mwenye maambukizi ya chini (mwenye matumizi mazuri ya dawa na mazingatio ya kiafya) strain atakayoisamba endapo viral load yake haijawa bado Undetected atasambasa Strain wasio na makali sana.Na vipi ikatokea mwenye maambukizi ya chini akakutana na mwenye maambukizi ya juu inakuaje?
Na huyu mwenye maambukizi ya chini atasimamishwa kutumia dawa au atapunguza maybe kumeza kila siku ?
Endapo mwenye maambukizi ya chini atakutana na mwenye maambukizi ya juu au viceversa ni kwamba mwenye maambukizi ya chini afya yake itadhoofika kinga ya mwili itashuka zaidi mwili wake utashindwa kuhandle strains mpya mwili utaitaj kufanya jitihafa za kipekee kuweza kuadapt wale strains walioingia kwa upande wa mwenye maambukizi ya juu kwake atazidi kuwa na maambukizi zaidi wale wa chini wataget mutant na kuwa the same as the strain around a population of his/he body.