Kuombewa ni jambo moja kuwa na msimamo ni jambo lingine kama ambavyo unaweza kulinda Malinda ndio hiyo hiyo nguvu itumie kutoingia kwenye mambo ya usagaji na Bahati mbaya ukiingia huko kutoka ni ngumu ni kama kutumia madawa ya kulevya huyo mwenyewe aliwahi kusema anataka kuacha humu jamvini lakini kashindwa njia pekee ya kujilinda ni kutoingia kabisa ukiachana na kuwa unapata laana, unapoteza hamu na wanaume upo tayari kuwa single mpaka unakuwa Mzee? Kisimi chako kinakuwa sugu taste yako ya asili kama mwanamke inapotea hakuna Mwanaume anaweza kupata utamu akisex na wewe.