A Night Date with a Man

A Night Date with a Man

Hapa inaonesha wewe mwenyewe ulipata crash nae ndio maana ukavunja kabati. Mwanamke asie na hisia nawe hapotezi muda wa mavazi na kupendeza.
Nilitaka kuexperience a real date with a man, ndio maana nikadress to kill, nikanukia vizuri, nikabehave like other ladies hua wanabehave, na bado sikuenjoy
 
Demu akijaa 18 alafu ukamkosa, kumpata tena inakuwa ni kipengele, na hata demu akija geto ukimuacha anakudharau. Huo wema mi sina kwakweli.

Bora lawama kuliko hasara.
Unachosema ni kweli ila kuna wengine acha tu aende. Kuna siku nilijichanganya kwa pisi moja hivi nikawa nafosi mazingira akawa hataki kwa siku ile anasema hakujipanga. Wakati anakataa ule usumbufu wake na kutaka kunizuia sijui ni mkono au mguu wake ulinipiga kwenye mbupu. Yale maumivu yake nilihisi haisimami tena nikamuacha tu aende na nikampotezea mazima.
 
Asilimia 95 anapokuja geto anajua ataliwa, wengi huwa wagumu ili asionekane malaya especially kama ni mara ya kwanza. Hapo inahitajika akili kubwa kumchinja ngamia.
Vijana wa sasa mbona naona kazi zenu ni nyepesi sana?

Kwanini usimweleze kabisa kabla hajaja?
 
Asilimia 95 anapokuja geto anajua ataliwa, wengi huwa wagumu ili asionekane malaya especially kama ni mara ya kwanza. Hapo inahitajika akili kubwa kumchinja ngamia.
Huyo aliniweka kwenye friendzone muda mrefu ila touches na romance za hapa na pale tukikutana anatoa ushirikiano ila kuja geto ilikuwa mtihan na hiyo siku alikuja ili apajue tu kwanza. Shida alikuwa anataka kuhamia aweke makazi ila sikuwa namchukulia vile atakavyo yeye
 
Guys, nipo mji fulani hivi sasa mwenyeji wangu kwenye kazi nilipewa mkaka, ni wale wakaka mahandsome wanaojipenda, kucha zake zimekatwa kiutaalam sio zile za kung'atwa na meno, nywele zake fupi flani hivi, meno masafi meupe, ananukia muda wote, hanuki mdomo wala makwapa, hana ndevu,

First day tunakutanishwa nilimuona kabisa amenielewa hakuweza kuficha hisia zake, nikasema akijichanganya kunitongoza tu na kazi hana, lakini alikua mstaarabu mwenye heshima na uwoga ndani yake, mimi nikiwa kazini hua sina masikhara ni kazi kazi niliona kabisa anaenda na speed yangu, kila kitu kilikua kimenyooka, tukawa tunaelewana,

Ijumaa, nimerudi zangu ninapoishi baada ya mihangaiko ya siku nzima, nikapokea text yake, "samahani madam, nakupa pole kwa kazi za leo najua umechoka lakini usisahau kula..." nikajikuta natabasamu, nikamjibu pia "thanks, bado sijala, wewe umekula?", hapo ndio tulipoanza kuchat, nikasema hebu nimpe nafasi ya kumfahamu zaidi, basi chattings zikawa nyingi hadi tukafika kwenye kupata dinner, mpango ukapangwa tukakubaliana iwe siku inayofata yaani jumamosi mida ya saa moja usiku,

Jumamosi, nikajua nina a friendly dinner date, nikajiandaa vizuri alikua anakuja kunichukua nilipo twende pamoja, hapa nataka niweke sawa kwanini nilikubali kwenda nae dinner, licha ya usafi wake, ustaarabu wake lakini pia hana ndevu, yes huyu kijana wa miaka thelathini hana ndevu kabisaaaa, jamani sipendi ndevu mimi tena yakiwa yale yamejiotea hovyo hovyo kama mchicha pori yananitia kichefu chefuuu, mnyoe ndevu nyie wanaume wa humu ndani,

Tukafika hotel iliyokusudiwa, meza ilikua imeshaandaliwa kwa ajili yetu, huyu kijana alikua nervous sana ni wazi hakujiamini ila na mimi nilikosea kitu nilipendeza sanaaaaa yani nilivunja kabati labda ningevaa kawaida angepata hali ya kujiamini, hata hivyo nilifanya kazi kumuondolea huo uoga, nikawa namuuliza maswali anafunguka ni kijana smart sana na hana papara na maisha,
Baada ya kula msosi mzuri nikamwambia tubadilishe location, anipeleke sehemu yenye vibe tuachane na uzungu mwingi sie waswahili babu weee,

Tukaenda a night club hakukua na watu wengi sana sababu ilikua bado mapema, nikamuuliza nyimbo anazopenda akanitaji nikamfata DJ nikampa list ya nyimbo akaanza kuzipiga moja moja nikamwambia tucheze akawa anaona ona aibu baadae aibu ikaanza kumtoka akaanza kucheza, ulikua ni usiku mzuri sana, tulipata kampani zaidi ya marafiki, tulicheza, tulikunywa, tulikula, tulifurahi, mida ya saa sita usiku tukawa barabarani ananirudisha kwangu, akanisubiri nikaingia ndani na yeye akaondoka.

NB: Binafsi a date na Mwanamke ni amazing zaidi kuliko a date na Mwanaume, it was fun but it was not enough.
Hapo kwenye NB subiri povu jingi!
 
Wenzako wanafurahia kuguswa na kidevu change ndevu, wanapata msisimko kabisa. Kweli kazi tunayo, hawa wapemba ni noma kwa taifa.
 
Back
Top Bottom