A Night Date with a Man

A Night Date with a Man

Sijakuomba ushauri lakini, usijipe umuhimu kwa watu usiowajua
Mpaka limekuja kwenye social media tayari limeshakuwa la public so kila mtu ana nafasi ya kutoa maoni yake nimeshauri kwa nia njema hata siku mkivamiwa na majambazi hakuna hata mmoja mwenye uwezo wa kukulinda mwenzake kwasababu wote ni wanawake na hamuwezi kubadilisha uhalisia, mama angu nafasi bado ipo ya kubadilisha maisha yako na kuishi kama wanawake wengine hakuna kitabu chochote cha Mungu kimehalalisha ndoa za jinsia moja
 
Kuna mdau mmoja hapa mtaani alitoka kushave ndevu zote (haikuwa kawaida yake). Mwanamke wake akasikika akimwambia, "kwahiyo baba hadija ukinawa uso ni kama unaosha tikiti maji!"..

Mwingine (rafiki yake) naye hakubaki nyuma, "kwahiyo mudi umeamua kunyoa ndevu zote ubaki na kidevu laini?, kama ulikuwa hutaki kuzaliwa mwanaume si ungesema!"
Naanza kufanyia kazi hizi sifa.
 
Kuna mdau mmoja hapa mtaani alitoka kushave ndevu zote (haikuwa kawaida yake). Mwanamke wake akasikika akimwambia, "kwahiyo baba hadija ukinawa uso ni kama unaosha tikiti maji!"..

Mwingine (rafiki yake) naye hakubaki nyuma, "kwahiyo mudi umeyamua kunyoa ndevu zote ubaki na kidevu laini?, kama ulikuwa hutaki kuzaliwa mwanaume si ungesema!"
Mbona kama huyo Mudi ni wewe, hahahaha eti uso kama tikiti maji
 
Kuna mdau mmoja hapa mtaani alitoka kushave ndevu zote (haikuwa kawaida yake). Mwanamke wake akasikika akimwambia, "kwahiyo baba hadija ukinawa uso ni kama unaosha tikiti maji!"..

Mwingine (rafiki yake) naye hakubaki nyuma, "kwahiyo mudi umeamua kunyoa ndevu zote ubaki na kidevu laini?, kama ulikuwa hutaki kuzaliwa mwanaume si ungesema!"
Wanasema unakuwa kama skonzi
 
Back
Top Bottom