Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 26,205
- 71,758
Punguza u serious na watu wa mtandaoni, kila mtu ana mapito yake,, wengine wana maumivu ya kutendwa kihisia na kimwili,, wakapata traumaKazi yangu nikumpa ushauri mtu awe kwenye njia sahihi suala la kuchukua au kutokuchukua lina baki kuwa lako any consequences zinabaki kuwa yako mostly sio anaekukoboa au wanakuzunguka
Mfano mtu aliyebakwa akiwa mdogo na asipate msaada wowote kutoka kwa ndugu au jamii inayomzunguka, huyo atachukia mwanaume yoyote anaepita mbele yake,,wanasema don't judge the book by its cover right,, hivyo ndivyo ilivyo