mmh kazi ipo, nimefundishwa kutokuwa tegemezi na wazazi wangu, staili ya maisha unayoishi siiwezi kabisa, napenda kumjali mpenzi wangu kwa kila kitu na huwa najisikia vizuri sana nikifanya hivyo.
kwangu mimi mpenzi wangu ni rafiki yangu, namtendea vile ninavyopenda kutendewa mimi, kama ni nyumba tutajenga kwa pesa yangu na yake, magari tutanunua kwa pesa yangu na yake, na hivyo vitu vidogo vidogo ulivyoviorodhesha tutanunua kwa pesa yetu wote, siwezi sema hii ni pesa yangu na yeye hawezi sema ni pesa yake, ni zetu wote
unapenda sana kufugwa