Kbd
JF-Expert Member
- Oct 9, 2009
- 1,260
- 450
unafua saa ngapi na kupika saa ngapi wakati unajikeep busy na kazi ambayo haina faida kwa familia, huyo mume unamtunza saa ngapi asubhi unaenda kazini jioni unarudi umechoka, kazi unayofanya haina manufaa na familia, kaa nyumbani mda wote umlee vizuri huyo mmeo
ni tabia za ubinafsi tu ndo zinazokusumbua, eti jukumu lake lol, na wewe kama mpenzi wake kazi yako ni nini, unadhani yeye hapendi kufanyiwa hayo unayofanyiwa
My dia haya ni mazungumzo tu na kubadilishana mawazo.........dont get too personal pls.