"A man should provide for his wife. PERIOD"

Hahahaha.... na hiyo red hapo ndo nani huyo? LOL......... Afu kitimoto kinaletwaje huku kwenye kuprovaidiana?

Hahahaha kuna mtu anaitwa Katerero babu afu kwenye pig mwe!! I meant BIG UP bana.......and you knew it!
 
Ngoja na mimi nimalizie kwa kusema hivi; ninapozungumzia mwanaume ni lazima aprovide kwenye familia yake haina maana mama akae tu na kufanya kioo pesa zake. Ukweli ni kwamba kulingana na imani yangu mume ni kichwa na kiongozi ktk familia na kututunza ni jukumu lake la kwanza na mimi nitakuwepo siku zote kumlinda. Yeye kama baba ni captain, tunamtegemea yeye kwa kila kitu na kwa sababu tunapendana naamini atanishirikisha katika mambo yooote na sitaacha familia yetu iaibike katika mazingira yoyote.Ninacho sisitiza hapa ni kwamba some one should take charge ya familia. Hata kama nitachangia 50/50 lakini bado mume lazima awe kiongozi na maamuzi ya mwisho yatoke kwake.
 
Na Hili ndilo NENO LA MUNGU.

Thread Closed!
 
Ni kweli kabisa mwanaume akiwa na kipato asipokuhudumia atatafuta mtu wa kumuhudumia na kumnyenyekea.Wewe utabaki kuzidiwa na majukumu yeye anaitunza nyumba ndogo.
 
kinachotakiwa ni kwamba hata kama mkeo atafanya biashara
usishindane nae kwa pesa za matumizi ya familia
halafu tukisema ku provide ni mpaka hiyo mitaji ya kufuga kuku
au kumsomesha afanye kazi nzuri ya kipato,but still mume kama una uwezo
provide kila kitu,bila kushindana

Sijui kwa nini watu hawalioni hili?? Na ndio maana ndoa nyingi zina shida sana ya maamuzi kwa kuwa na mama anajiona anachangia 50/50 na kuwa na uwezo wa kuamua lolote hata bila kumshirikisha mume wake maana anauwezo uo. Hakuna mwanamke anayeweza kuwaacha watoto wake walale na njaa ati kisa baba hana pesa au watoto warudishwe shule kisa ada na mama anazo. Maisha ya ndoa mi naamini ni kusaidiana kwa hali na mali lakini lazima kuwe na kiongozi, na kiongozi ni baba akitekeleza majukumu yake.

Asante.
 
Kbd......... you are an angel!

Kusaidiana hakuondoi ukuu wa familia mikononi mwa baba. Hapa ndipo watu wanapokosea. Ubaba ni mamlaka na siyo kipato. Ni kama alivyo Rais wa nchi. Si lazima awe na kipato kikubwa kuliko watu wake, lakini ana mamlaka na maamuzi ya mwisho katika nchi.

Nyie watu: NDOA NI KUSHIRIKIANA NA KUSAIDIANA KWA HALI NA MALI>>>>>>Period! Ila Ukuu wa familia ni wa baba na haukaimishwi wala si wa kupokezana!
 
Kbd......... you an angel!

Kweli kabisa Babu mpaka hapo tuko pamoja kwa sana.
 
Kbd......... you are an angel!

Kusaidiana hakuondoi ukuu wa familia mikononi mwa baba. Hapa ndipo watu wanapokosea. Ubaba ni mamlaka na siyo kipato. Ni kama alivyo Rais wa nchi. Si lazima awe na kipato kikubwa kuliko watu wake, lakini ana mamlaka na maamuzi ya mwisho katika nchi.

Nyie watu: NDOA NI KUSHIRIKIANA NA KUSAIDIANA KWA HALI NA MALI>>>>>>Period! Ila Ukuu wa familia ni wa baba na haukaimishwi wala si wa kupokezana!

hivi hommie, Pinda sio mkuu wa familia ya bunge?
 
Sasa hommie, bunge si ni sawa na baa? Pinda ni sawa na meneja wa baa ndo maana wanywaji kina Tundu Lisu wanamshika Sharubu watakavyo.....
 
Hapo ndipo ulipoharibu ndugu....Hakuna ndoa bila tendo la ndoa...na kwa hiyo haliwezi kupewa kipaumbele cha pili. Ndo maana hata masikini wanaoomba omba mwisho wa siku wanajiona wanaishi maisha ya furaha, kwa sababu wanapeana shea ya kutosha. Tatizo la vijana wa siku hizi ni kuhisi au kuchukulia suala la ngono kwenye ndoa kama halina umuhimu....Hayo ni makosa makubwa sana!

ndoa sio tendo la ndoa pekee tu na majukumu ya kuhudumia familia. Kama jamaa hakuridhishi u can discuss and sort it out together, ila kwanza majukumu ya kifamilia yatimizwe na si kuleta uzembe na kufikiria kuwa utamridhisha mkeo kwa tendo tu. Mke atafurahia vipi na hali anafikiria watoto hawajala? Ada ya shule haijalipwa na lijamaa lizembe lipo tu linasubiri liwekee chakula mezani na kupewa uroda tu? Mke akihudumiwa vizuri anakua mnyenyekevu kwa mumewe na utamkuta yu tayari kwa tendo na wala hata kuona kero akupe visingizio vya oh naumwa na kichwa au umkute kanuna ili tu akunyime unyumba. PLAY YOUR PART AND DO NOT AVOID UA RESPONSIBILITIES
 
Ngoja na mimi nimalizie kwa kusema hivi; ninapozungumzia mwanaume ni lazima aprovide kwenye familia yake haina maana mama akae tu na kufanya kioo pesa zake. Ukweli ni kwamba kulingana na imani yangu mume ni kichwa na kiongozi ktk familia na kututunza ni jukumu lake la kwanza na mimi nitakuwepo siku zote kumlinda. Yeye kama baba ni captain, tunamtegemea yeye kwa kila kitu na kwa sababu tunapendana naamini atanishirikisha katika mambo yooote na sitaacha familia yetu iaibike katika mazingira yoyote.Ninacho sisitiza hapa ni kwamba some one should take charge ya familia. Hata kama nitachangia 50/50 lakini bado mume lazima awe kiongozi na maamuzi ya mwisho yatoke kwake.

hizi imani inabidi zifanyiwe marekebisho kidogo, inasema wana ndoa ni mwili mmoja, wakati huo huo inasema mwingine ahudumiwe kwa kila kitu,
sasa huo umoja ndo uko wapi hapo, swala la heshima kwa mume na kusaidiana ni vitu viwili tofauti, yes mume aheshimiwe kama kichwa cha familia,
vile vile wanandoa wasaidiane kwa hali na mali
 
ndoa sio tendo la ndoa pekee tu na majukumu ya kuhudumia familia. Kama jamaa hakuridhishi u can discuss and sort it out together, ila kwanza majukumu ya kifamilia yatimizwe na si kuleta uzembe na kufikiria kuwa utamridhisha mkeo kwa tendo tu. Mke atafurahia vipi na hali anafikiria watoto hawajala? Ada ya shule haijalipwa na lijamaa lizembe lipo tu linasubiri liwekee chakula mezani na kupewa uroda tu? Mke akihudumiwa vizuri anakua mnyenyekevu kwa mumewe na utamkuta yu tayari kwa tendo na wala hata kuona kero akupe visingizio vya oh naumwa na kichwa au umkute kanuna ili tu akunyime unyumba. PLAY YOUR PART AND DO NOT AVOID UA RESPONSIBILITIES

kwa hiyo, mwanamke mpaka apewe kitu ndo anakuwa mnyenyekevu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom