"A man should provide for his wife. PERIOD"

hizi imani inabidi zifanyiwe marekebisho kidogo, inasema wana ndoa ni mwili mmoja, wakati huo huo inasema mwingine ahudumiwe kwa kila kitu,
sasa huo umoja ndo uko wapi hapo, swala la heshima kwa mume na kusaidiana ni vitu viwili tofauti, yes mume aheshimiwe kama kichwa cha familia,
vile vile wanandoa wasaidiane kwa hali na mal
i
Na hili nalo ndilo NENO LA MUNGU!
 
....jamani mnisamehe, naota tu...-------
sweet-dreams.gif

~~~...A man should provide for his wife under 18yrs kids!.... hata pale watapokuwa wameachana.
mfano; malazi & makaazi, kulipia watoto ada, chakula, mavazi etc...
hakuna kukwepa majukumu~~~
 
hizi imani inabidi zifanyiwe marekebisho kidogo, inasema wana ndoa ni mwili mmoja, wakati huo huo inasema mwingine ahudumiwe kwa kila kitu,
sasa huo umoja ndo uko wapi hapo, swala la heshima kwa mume na kusaidiana ni vitu viwili tofauti, yes mume aheshimiwe kama kichwa cha familia,
vile vile wanandoa wasaidiane kwa hali na mali

My dia hivyo ndio ninavyoamini na itabaki kuwa hivyo.

Kuwa mwili mmoja hakumaanishi na majukumu ni mamoja. Kuna mgawanyo wa majukumu kwenye ndoa ndugu yangu na ndio maana wote tunatoka kazini tukiwa tumechoka lakini mama atakimbilia jikoni kupika na baba atakaa sebuleni kusubiri chakula. Ndio maana wote ni wazazi lakini mama ndio anaebeba mimba na kuingia leba. Vivyo hivyo wote tumelala muda mmoja ila mama atawahi kuamka kuhakikisha chai iko tayari, nguo za baba ziko tayari na mambo mengine madogo madogo kumfanya baba afikirie yale makubwa zaidi kwa ajili ya ustawi wa familia.

Kama umenisoma vizuri sipingani na kushirikiana na mpenzi wa maisha yangu hata kidogo lakini pia sipingi ukweli kwamba "a man should provide for his wife. PERIOD.
 
ok ok kama tunaongelea imani naomba nisiendelee kuchangia, nilidhani tunaongelea mapenzi, kwa maana halisi ya mapenzi yaliyofanya hawa wawili wapendano kuwa mwili mmoja, yaani wapendanao hawa wasaidiane, wajaliane, waheshimiane, wasikilizane na mengine mengi watakayo fanya kwa umoja,
 
Katelero, mapenzi bila IMANI ni kazi bure my dear...
 
  • Thanks
Reactions: Kbd
....jamani mnisamehe, naota tu...-------
sweet-dreams.gif

~~~...A man should provide for his wife under 18yrs kids!.... hata pale watapokuwa wameachana.
mfano; malazi & makaazi, kulipia watoto ada, chakula, mavazi etc...
hakuna kukwepa majukumu~~~

kwa staili hiyo hapo juu inabidi mtu ajute kuzaliwa mwanaume
 
My dia hivyo ndio ninavyoamini na itabaki kuwa hivyo.

Kuwa mwili mmoja hakumaanishi na majukumu ni mamoja. Kuna mgawanyo wa majukumu kwenye ndoa ndugu yangu na ndio maana wote tunatoka kazini tukiwa tumechoka lakini mama atakimbilia jikoni kupika na baba atakaa sebuleni kusubiri chakula. Ndio maana wote ni wazazi lakini mama ndio anaebeba mimba na kuingia leba. Vivyo hivyo wote tumelala muda mmoja ila mama atawahi kuamka kuhakikisha chai iko tayari, nguo za baba ziko tayari na mambo mengine madogo madogo kumfanya baba afikirie yale makubwa zaidi kwa ajili ya ustawi wa familia.

Kama umenisoma vizuri sipingani na kushirikiana na mpenzi wa maisha yangu hata kidogo lakini pia sipingi ukweli kwamba "a man should provide for his wife. PERIOD.

Kbd hapa nimekuelewa asante sana ila inabidi kusome kweli kati kati ya mstari..
 
kwa staili hiyo hapo juu inabidi mtu ajute kuzaliwa mwanaume
Umeona eh?...... yaani raha ya kuwa mwanaume itakuwa pale anapoingiza kimwaga mkojo chake kwenye kikojoleo che mkewe. Akitoka hapo ni tabu tupu mtindo mmoja!
 
Kbd hapa nimekuelewa asante sana ila inabidi kusome kweli kati kati ya mstari..

Hahahhahahaaaaaaaa............haya bana shukrani sana kwa kunielewa. :A S-rose:
 
kwa staili hiyo hapo juu inabidi mtu ajute kuzaliwa mwanaume

....ama? sasa ugomvi wa mama na baba unawahusu vipi watoto?...Mwanaume akishaachana na mke
haina maana naye aache jukumu la la kuilea familia. Ataendelea kuwa kichwa 'mbadala'...
Tatizo letu sie, vinyongo na uhasama tunaendekeza mno mwisho wa siku unadhani unamkomoa mke na watoto
kuwabania matumizi. Huko ni kukimbia majukumu!

Ukizaa na mwanamke, hata ukishaachana nae, matunzo kwa watoto 'share' ni ile ile, tena huenda na ikaongezeka
kidogo, maana panahitajika na security (mume mwenzio.)..lol!
 
Kaizer na Asprin hapa sio Bungeni tafadhali haya jibuni kama mwanaume unatakiwa juhudi zako uziwekeze wapi kati ya kumridhisha mamsap kitendo au kuprovide basic needs!!
 
....ama? sasa ugomvi wa mama na baba unawahusu vipi watoto?...Mwanaume akishaachana na mke haina maana naye aache jukumu la la kuilea familia. Ataendelea kuwa kichwa 'mbadala'...Tatizo letu sie, vinyongo na uhasama tunaendekeza mno mwisho wa siku unadhani unamkomoa mke na watotokuwabania matumizi. Huko ni kukimbia majukumu!Ukizaa na mwanamke, hata ukishaachana nae, matunzo kwa watoto 'share' ni ile ile, tena huenda na ikaongezekakidogo, maana panahitajika na security (mume mwenzio.)..lol!
duh hili nalo zito hasa kama kuna mwenzi mpya maishani mwa mke na wakapata mtoto jinsi ya kuhakikisha kuwa kinatumika kwa watoto waliokusudiwa tu!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kaizer na Asprin hapa sio Bungeni tafadhali haya jibuni kama mwanaume unatakiwa juhudi zako uziwekeze wapi kati ya kumridhisha mamsap kitendo au kuprovide basic needs!!

It takes two to tango
 
duh hili nalo zito hasa kama kuna mwenzi mpya maishani mwa mke na wakapata mtoto jinsi ya kuhakikisha kuwa kinatumika kwa watoto waliokusudiwa tu!

...nani atayekujibu hilo ewe Mwj1? ...wafanya mchezo na wivu eehh?
Mtu aona akiendelea kupeleka matumizi, Mume mweziwe atanenepa.
'Mbuzi yu ala kwa urefu wa kamba yake.'
 
Da! naya-miss sana hayo magazeti, hapa Arusha siku hizi siyaoni kabisa.
 
Back
Top Bottom