h120
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 2,532
- 3,316
Electronics accessories nyingi madukani ni za viwango vya chini ama fake kwa miaka hii, sio mouse, keyboard, USB hubs, chargers, Flash drives, pci cards, headphones, yani wafanya biashara wanaenda na mziki wa rahisi kwa faida kubwa. Kuna maduka ukiingia unaweza ukakagua duka zima na usikute bidhaa yeyote genuine, labda milango na grill maana hata wauzaji nao ni feki tu.
Na hili tatizo limekua sugu lipo kila upande ukienda maduka ya hardwares utasikitika, hawa TBS sijui wanafanya kazi gani. labda wameamua kubana matumizi kwa kupunguza baadhi ya majukumu yao muhimu kama haya ya kupambana na bidhaa feki.