hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,916
kwa mara kwanza kuziona power bank sokoni nilizani watu wengi tunao tumia smartphone tutakuwa tumekomboka. kumbe nilikuwa nawaza kinyume chake.
na toka nianze kununua power bank sijawahi kubahatika kupata power bank original.
unajua wafanya biashara wanamaneno mengi Sana na unaweza ukahisi anacho zungumza ni kweli. unakuta anakuambia kwa hii simu yako hii power bank inaweza kuchaji hata mara 5.
lakini Mara ya kwanza nilinunua power bank yenye capacity 30000 lakini ikawa inachaji simu Mara 1 kwa betri yenye 3000 mA na inaisha labda unabaki na moto wa kuwasha tochi tu.
nikaja kununua capacity 50000 hii ilikuwa inachaji mara 1 na nusu
nikaja kununua capacity 90000 hii ndio ikawa inachaji Mara 2
mbali na kupata hasara ya kutupa pesa na bado zilinialibia na mabetri 2 na bado hapo hapo kupata adhabu ya kulibeba lipower bank likubwa Kama betri la pikipiki na humo njiani kila MTU ananiangalia mm Kama mwendawazimu.
na pale nyumbani saizi ninakama power bank 6 na zote nilikuwa nanunua ilikujaribu bahati yangu lakini nimeambulia patupu.
na saizi nimekuja na akili mpya sitaki kutumia power bank Ila nitakuwa nitakuwa natumia chaji ya fast charging. na nimegundua tanzania hamna power bank original zote ambazo zipo sokoni zipo kwenye majaribio ya kibiashara.