99% ya power bank zote zilizopo sokoni Tanzania ni fake

hata hizi betri za kwenye cm nahis wanachakachua zikishatua bongo... Haiwezekan ukicheki battery consumption ya smartphone Gsm arena unakuta labda ni masaa 36 lakin simu hiyo hiyo ukinunua bongo battery lake unatumia masaa 4 tu chalii
 
Sawasawa kabisa Wala haina shida uzuri inaweza ikanijazia samsung yangu mara 4 full wala sina tatizo na uclone wake.
ufeki wa powerbank ni
-cycle ya kuichaji na kuitumia inakuwa ndogo, mpaka leo ushaichaji.mara ngapi na kuitumia mara ngapi?
-inatumia muda gani kuijaza simu yako full?
-simu yako ina mah ngapi?
 
hata hizi betri za kwenye cm nahis wanachakachua zikishatua bongo... Haiwezekan ukicheki battery consumption ya smartphone Gsm arena unakuta labda ni masaa 36 lakin simu hiyo hiyo ukinunua bongo battery lake unatumia masaa 4 tu chalii
gsmarena wakipima wanatoa test 4 tofauti
-test ya kupiga simu
-test ya kuingia internet na wifi
-test ya kuplay video mwanga ukiwa asilimia 50

ile endurance wana calculate standby na saa moja la kupiga simu, saa moja la kuingia internet na wifi na saa moja la kuangalia video.

hivyo kama utatumia hivyo battery yako itakaa hivyo ila ukitumia tofauti na pia battery itakuwa tofauti.
 
Yaaani hadi staki kusikia neno power bank. Nimenunua zaidi ya mara nane hakuna iliyomaliza mwezi mmoja ikiwa inafanya kazi.
Nilianzia kariakoo mwisho nikahamia maduka ya posta nikijua wanauza original nikaamua kujipinda kununua power bank kwa laki mbili cha ajabu ilifanya kazi kwa siku mbili.

Nimeamua kutembea na spare ya betri na chaja mfukoni
 
mkuu ndio unajua leo? sio power bank tu hata charger, memory card na vi accessory vidogo vidogo 99% ni fake.

power bank original Tanzania nunua za xiaomi tena sio zile clone za aggrey nunua zenyewe original. yangu nilinunua highlife, Toka ninunue hadi leo ipo na uwezo wake ule ule na kuna member pia humu wana xiaomi power banks wanaweza kuja kukupa ushahidi

RGforever

mimi yangu ni 16000mah na inatoa 10,000mah kama 6000mah zinapotea na hii wamesema kabisa xiaomi kwenye manual yao. simu za kawaida hizi flagship utachaji mara 3 hadi 4
Hawa jamaa wanajiita Xiaomi sasa hivi nawakubali kwa vitu vyao
 
wafanya biashara wanapenda faida kubwa.kama ukienda china ndo utajua kuwa sisi ni mafisadi tanzania
 
ufeki wa powerbank ni
-cycle ya kuichaji na kuitumia inakuwa ndogo, mpaka leo ushaichaji.mara ngapi na kuitumia mara ngapi?
-inatumia muda gani kuijaza simu yako full?
-simu yako ina mah ngapi?
*Ninayo hii power bank since 2014
*Battery yangu ya simu ina mAh 3000
*Inatumia 2.10 hrs kuwa full charged.

It is the best power bank i ever had.
 
Mimi shanunua memory card zaidi ya 15 zoote ni kimeo yani nikitumia sku kadhaa tu zinakufa jaman naomba kama kuna mtu anajua sehemu wanakouza memory card nzuri anielekezee
Pole,,,nunua original na ni bei kubw pia japo najua unaeza kuiafford
 
Ijapokuwa mimi si mtumiaji wa simu za Tecno lakini nakushauri ukitaka kununua memory card tafuta ya Tecno original zinadumu sana,ninayo hapa 8GB tangia 2012 mpaka sasa iko poa tu.
Lakini pia watu wanasema jinsi memory card inavyokuwa na uwezo mkubwa ndiyo inavyokuwa rahisi ku corrupt!
Wengi wamepiga nembo ya tecno wanawaibia watu Ila zile zilizkua znakujana sim zaman zlikua poa sana,Ila mm nauza original kabsa wala hazina kokoro kokoro
 
Yaaani hadi staki kusikia neno power bank. Nimenunua zaidi ya mara nane hakuna iliyomaliza mwezi mmoja ikiwa inafanya kazi.
Nilianzia kariakoo mwisho nikahamia maduka ya posta nikijua wanauza original nikaamua kujipinda kununua power bank kwa laki mbili cha ajabu ilifanya kazi kwa siku mbili.

Nimeamua kutembea na spare ya betri na chaja mfukoni
Hujapata tu nzuri ndugu,,,tafuta PINENG utanikumbuka,,,inauezo kujaza simu empty kwa %3au 4 sasa unaweza ona uwezo wake
 
e44f4e4473890834fef7ded84823f5e8.jpg
hutajuta ukitumia power bank kama hii
 
Mimi ni muhanga wa flash wakuu kila niniyo nunua inacorrupt haiingizi tena vitu wala kutoA na mbaya zaidi vitu vilivyopo mule vitaanza kuscrach then haziplay kabisa,, nishanunua zaidi ya kumi maduka ya wahindi posta
 
tafuta memory card za class 10, uhs1 au 3 automatic itakuwa nzuri, hakikisha una app ya kubenchmark sd card pamoja na app ya sd insight

-sd insight itakusaidia kujua alietengeneza hio memory card na jina lake then tumia hilo jina na brand kusearch online kupata specs sahihi
-app ya kubenchmark itakupa speed za kuwrite na read halafu compare na za online ambazo manufacture katangaza, ikiwa sawa jua ni nzuri.

mimi yangu nilinunua uhuru na nyamwezi duka moja wanauza acessory za camera na laptop shilingi 50,000 kwa 64gb.
Hiyo 64 gb unasoma kwenye nini?
 
Back
Top Bottom