99% ya power bank zote zilizopo sokoni Tanzania ni fake

72196bf4fb92790ee4ca4b4bbdc8b2ef.jpg
d17bd4c7fd0f6544cef59b71b6f13858.jpg
41640db726c0c385e60854b549103606.jpg
8f166001f83ac8667cfcec063282c6d7.jpg
 
class 10 uhs 1 au 3, brand yoyote kubwa iwe sandisk, samsung inafaa.

hio class huandikwa juu ya memory card na uhs huandikwa kama kialama cha U chenye namba moja au 3

MB-MGCGB-EU-334212-2.jpg

ila ni za kutafuta sana, hasa hasa maduka ya camera ndio utazipata zinakuwa na adapter
Shukrani Chief
 
kwa mara kwanza kuziona power bank sokoni nilizani watu wengi tunao tumia smartphone tutakuwa tumekomboka. kumbe nilikuwa nawaza kinyume chake.

na toka nianze kununua power bank sijawahi kubahatika kupata power bank original.
unajua wafanya biashara wanamaneno mengi Sana na unaweza ukahisi anacho zungumza ni kweli. unakuta anakuambia kwa hii simu yako hii power bank inaweza kuchaji hata mara 5.

lakini Mara ya kwanza nilinunua power bank yenye capacity 30000 lakini ikawa inachaji simu Mara 1 kwa betri yenye 3000 mA na inaisha labda unabaki na moto wa kuwasha tochi tu.

nikaja kununua capacity 50000 hii ilikuwa inachaji mara 1 na nusu
nikaja kununua capacity 90000 hii ndio ikawa inachaji Mara 2

mbali na kupata hasara ya kutupa pesa na bado zilinialibia na mabetri 2 na bado hapo hapo kupata adhabu ya kulibeba lipower bank likubwa Kama betri la pikipiki na humo njiani kila MTU ananiangalia mm Kama mwendawazimu.

na pale nyumbani saizi ninakama power bank 6 na zote nilikuwa nanunua ilikujaribu bahati yangu lakini nimeambulia patupu.

na saizi nimekuja na akili mpya sitaki kutumia power bank Ila nitakuwa nitakuwa natumia chaji ya fast charging. na nimegundua tanzania hamna power bank original zote ambazo zipo sokoni zipo kwenye majaribio ya kibiashara.
Mkuu zipo powerbank za ukweli. Mfano mm nina powerbank inamiaka 2 nilinunua 2015 mwez wapili inaukubwa wa 10000mA ilikuwa inacharge s5 yang mara 2 na mara ya tat ilikuwa inafika 80%. Niyakampuni ya Remax. Ukiongelea kampuni ya Xiomi na yenyew inazo pbank fek ambaz ndo zipo nying japo fake zake zinajitahid. Chamsing ukitaka kununua pbank usidanganyike na mmA ambaz unakuta ni nying alaf unakuta pbank nyepesi ujue ni fake. Kwa mfano mm yang hii ya 10000mA Ni kazito tofaut na moja nilikuta inauzwa 35000mA ambay ni nyepes kuliko yang(fake) skuzote battery iliyopo kwenye pbank inavyoongezeka ukubwa ndivyo inavyozid kuwa nzito. Mimi hii yang bado inauwezo wakuchaj S6 Yang mara 2 na ikabak chaj kidogo na niliinunua elfu 50000
 
kwa mara kwanza kuziona power bank sokoni nilizani watu wengi tunao tumia smartphone tutakuwa tumekomboka. kumbe nilikuwa nawaza kinyume chake.

na toka nianze kununua power bank sijawahi kubahatika kupata power bank original.
unajua wafanya biashara wanamaneno mengi Sana na unaweza ukahisi anacho zungumza ni kweli. unakuta anakuambia kwa hii simu yako hii power bank inaweza kuchaji hata mara 5.

lakini Mara ya kwanza nilinunua power bank yenye capacity 30000 lakini ikawa inachaji simu Mara 1 kwa betri yenye 3000 mA na inaisha labda unabaki na moto wa kuwasha tochi tu.

nikaja kununua capacity 50000 hii ilikuwa inachaji mara 1 na nusu
nikaja kununua capacity 90000 hii ndio ikawa inachaji Mara 2

mbali na kupata hasara ya kutupa pesa na bado zilinialibia na mabetri 2 na bado hapo hapo kupata adhabu ya kulibeba lipower bank likubwa Kama betri la pikipiki na humo njiani kila MTU ananiangalia mm Kama mwendawazimu.

na pale nyumbani saizi ninakama power bank 6 na zote nilikuwa nanunua ilikujaribu bahati yangu lakini nimeambulia patupu.

na saizi nimekuja na akili mpya sitaki kutumia power bank Ila nitakuwa nitakuwa natumia chaji ya fast charging. na nimegundua tanzania hamna power bank original zote ambazo zipo sokoni zipo kwenye majaribio ya kibiashara.
pole mkuu tafuta TECNO POWER BANK NI NZURI SANA.mi nahisi nilibahatika yangu nilinunua mwaka juzi ikijaa unachaji smartphone 4 zikiwa na 0.5% ya charge iliyobaki hadi 100% na vitochi vi 2
 
Power bank babkubwa kwa watumizi wa simu ni Xiaomi

Wenye matumizi madogo, mfano simu moja, mbili na wanahitaji kurecharge mara moja au mbili. (10,400mAh)

home-shell-product.jpg

Wenye matumizi ya kati, kurecharge simu mara tatu nne (16,000mAh)
Xiaomi-16000-mAh-Power-Bank.jpg

Wale high end users wapenda the highest in quality kuna hii ya omnicharge, hii inapeleka hadi laptop
01-white-with-screen-1200x800.jpg

Kama bado hujaridhika kabisa, kuna hii Anker powerhouse, inawasha hadi fridge ndogo, tv
anker-powerhouse.jpg

Bado hujaridhika? basi nunua Tesla home battery kabisa.
Mkuu huo mdundo wa mwisho nitaupataje kwa matumizi ya freezer lenye matumizi ya ya watts120
 
Ninunue power bank ya nini? Kwani naenda porini, cm yangu nikiichaj full nikiondoka asubuhi nyumbani mpaka narudi home chaji haijamaliza kama sitatumia kwa kuperuzi, nikiperuzi ikiisha naweka huku kazini, yanini kujisumbua na madude hayo
kama unatumia kitochi huwezi ona faida
ya power bank
 
mkuu ndio unajua leo? sio power bank tu hata charger, memory card na vi accessory vidogo vidogo 99% ni fake.

power bank original Tanzania nunua za xiaomi tena sio zile clone za aggrey nunua zenyewe original. yangu nilinunua highlife, Toka ninunue hadi leo ipo na uwezo wake ule ule na kuna member pia humu wana xiaomi power banks wanaweza kuja kukupa ushahidi

RGforever

mimi yangu ni 16000mah na inatoa 10,000mah kama 6000mah zinapotea na hii wamesema kabisa xiaomi kwenye manual yao. simu za kawaida hizi flagship utachaji mara 3 hadi 4
Mkuu nitajuaje kama INA hyo 16,000 mah maan mm ninayo hapa ni majanga tuu kwanz kujaa ni taabu na ikijaa cm moja tu nachaj
 
Mkuu nitajuaje kama INA hyo 16,000 mah maan mm ninayo hapa ni majanga tuu kwanz kujaa ni taabu na ikijaa cm moja tu nachaj
pengine ni feki, 16,000mah actual capacity ni kama 10,000mah hivyo angalia simu yako ina mah ngapi fanya mahesabu, na output yake ni 2A hivyo inajaza chaji upesi tu.
 
Mkuu huo mdundo wa mwisho nitaupataje kwa matumizi ya freezer lenye matumizi ya ya watts120
watts pekee si kigezo, hadi voltage pia ziendane, huwezi tumia powerbank ya simu au laptop kwenye freezer hata iwe na mah 1,000,000,000 kama output yake ni 5v

labda ununue hio home power kama ya tesla ambayo bei yake ni kama mara 5 ya hilo freezer
 
Back
Top Bottom