99% ya power bank zote zilizopo sokoni Tanzania ni fake

Kweli kabisa, mimi sijawahi nunua hiyo mikitu wala sijawahi tumia, Nilichogundua ni kuwa watumiaji wengi wa hizi power bank ni watu wa misheshe au watu wa mision town kwasana, watu wasio na address maalum au ofisi maalum, watu wa vijiweni. Mimi naingia ofisini saa mbili kamili na kutoka saa kumi na moja na nusu jioni, muda wote nipo ofisini na access ya umeme full time, nyumbani umeme full time. Hapo sasa power bank ya nini?

Unaongea tu wewe, ingekua ni hivyo power bank zisingeuza hata nchi za nje, nchi nyingi ambazo umeme haukatiki ka bongo bado watu wananunua power bank, tena watu wenye high end products na wananunua sana kuliko bongo ambapo umeme unakatika kila wiki. Hujaona hata Apple wanauza power banks? au unadhani wanatengeneza ili wauzie waafrika ambao hawana ofisi? Kama huoni use ya power bank probably una boring life, kama ulivyosema asubuhi hadi jioni ofisini, usiku nyumbani umemaliza.
 
Power bank babkubwa kwa watumizi wa simu ni Xiaomi

Wenye matumizi madogo, mfano simu moja, mbili na wanahitaji kurecharge mara moja au mbili. (10,400mAh)

home-shell-product.jpg

Wenye matumizi ya kati, kurecharge simu mara tatu nne (16,000mAh)
Xiaomi-16000-mAh-Power-Bank.jpg

Wale high end users wapenda the highest in quality kuna hii ya omnicharge, hii inapeleka hadi laptop
01-white-with-screen-1200x800.jpg

Kama bado hujaridhika kabisa, kuna hii Anker powerhouse, inawasha hadi fridge ndogo, tv
anker-powerhouse.jpg

Bado hujaridhika? basi nunua Tesla home battery kabisa.
 
Unaonyeshea mfano kwa wazungu ilikujifariji? huko kwao mission town kwani hakuna?
 
hiyo anker ni kiboko.
 
Unaonyeshea mfano kwa wazungu ilikujifariji? huko kwao mission town kwani hakuna?

Nimekaa nje muda mrefu, mission town wapo kila kona ila usidhani nje mtu anakosa socket ya umeme kirahisi hivyo, mfano chuoni wanafunzi wengi walikua na powerbank pamoja na kua kila darasa lilikua na socket ya umeme kwenye kila kiti, hadi kwenye subways, coffee shops kote kuna socket unachomeka unacharge bure, wana umeme wa kutosha kuliko wewe wa ofisini ila bado wananunua power banks, na kumbuka umeme huku haukatiki labda itokee natural disaster kitu ambacho ni very unlikely. Nakushangaa unafananisha power bank na umasikini, kama unafikiria watu homeless then sahau maana wao ndio kabisa hata power bank hawanunui.
 
Kweli kabisa, mimi sijawahi nunua hiyo mikitu wala sijawahi tumia, Nilichogundua ni kuwa watumiaji wengi wa hizi power bank ni watu wa misheshe au watu wa mision town kwasana, watu wasio na address maalum au ofisi maalum, watu wa vijiweni. Mimi naingia ofisini saa mbili kamili na kutoka saa kumi na moja na nusu jioni, muda wote nipo ofisini na access ya umeme full time, nyumbani umeme full time. Hapo sasa power bank ya nini?
Unataka wote tuwe na Kazi za ofisini kutoka saa 11 Jioni barabarani atafanya nani. Wewe umejaaliwa ofcn tuache siye unaotuita mishemishe, ndo mgawanyo Wa maisha.
 
Usihangaike kabisa kununua hizo power bank hapa bongo
chukulia mfano huu kuna vyakula vinakamatwa vishaingia vikiwa havifai viwango vibovu au mara nyingine muda wa matumizi umeshapita, na vimeingia na pengine watu walishauziwa, na hivi ni vitu muhimu kwa matumizi ya binadamu (chakula) vipi kuhusu izo memory cards,extension cables,power banks, cellphone chargers n.k???
someone is responsible here.
 
Unataka wote tuwe na Kazi za ofisini kutoka saa 11 Jioni barabarani atafanya nani. Wewe umejaaliwa ofcn tuache siye unaotuita mishemishe, ndo mgawanyo Wa maisha.
wapi nilipo lazimisha kuwa wote mkae ofisini? mbona unapanic faster hivi? hembu rudi tena kasome michango yangu ndo utanielewa zaidi. nimesema kuwa kwangu hiyo mi powe bank haina maana yoyote, ni kwaajili ya watu wa mishemishe, na mmoja wao ni wewe, unaweza beba hata power bank tatu power to, ukiweza beba na genereta kabisa.
 
mkuu ndio unajua leo? sio power bank tu hata charger, memory card na vi accessory vidogo vidogo 99% ni fake.

power bank original Tanzania nunua za xiaomi tena sio zile clone za aggrey nunua zenyewe original. yangu nilinunua highlife, Toka ninunue hadi leo ipo na uwezo wake ule ule na kuna member pia humu wana xiaomi power banks wanaweza kuja kukupa ushahidi

RGforever

mimi yangu ni 16000mah na inatoa 10,000mah kama 6000mah zinapotea na hii wamesema kabisa xiaomi kwenye manual yao. simu za kawaida hizi flagship utachaji mara 3 hadi 4
zinapatikana wapi mkuu?
 
Mimi shanunua memory card zaidi ya 15 zoote ni kimeo yani nikitumia sku kadhaa tu zinakufa jaman naomba kama kuna mtu anajua sehemu wanakouza memory card nzuri anielekezee
nunua sandisk original ziko vizuri sana, nilinunua flash ya sandisk ya 4gb INA miaka minne bado inapiga mzigo, pia nina memory ya 8gb natumia ktk cm huu mwaka wa tatu
 
Power bank babkubwa kwa watumizi wa simu ni Xiaomi

Wenye matumizi madogo, mfano simu moja, mbili na wanahitaji kurecharge mara moja au mbili. (10,400mAh)

home-shell-product.jpg

Wenye matumizi ya kati, kurecharge simu mara tatu nne (16,000mAh)
Xiaomi-16000-mAh-Power-Bank.jpg

Wale high end users wapenda the highest in quality kuna hii ya omnicharge, hii inapeleka hadi laptop
01-white-with-screen-1200x800.jpg

Kama bado hujaridhika kabisa, kuna hii Anker powerhouse, inawasha hadi fridge ndogo, tv
anker-powerhouse.jpg

Bado hujaridhika? basi nunua Tesla home battery kabisa.
kama mfuko upo vizuri kuna na hii ya dell yenye output kubwa

dell-power-companion-12000-mah-pw7015m_msr1.640.jpg

ni powerbank ya laptop
 
Back
Top Bottom