90% ukiishi mbali na mkeo 'utamegewa'

90% ukiishi mbali na mkeo 'utamegewa'

kwel uo utaft wako chongo
unaweza ata ukakaa nae karbu lakn bado ukamegewa awa watu wakshavuliwa kabla awajaolewa awawez tulia wakisha olewa
 
Naunga mkono hoja mkuu,swala la umbali kutokuwa karibu na mkeo kwa mda mrefu husababisha machafuko ktk ndoa..hasa vyombo vya ulinz upande wa majeshi ya ulinz mambo haya hutokea sana.
 
Hivi ulisema huu ni utafiti? Tena with 90% possibility!!! Haya masihara mkuu.

Halafu, baada ya kugundua tatizo la huyo victim wako (huyo mdada) ulimsaidia??? Ha ha ha
 
Hivi ulisema huu ni utafiti? Tena with 90% possibility!!! Haya masihara mkuu.

Halafu, baada ya kugundua tatizo la huyo victim wako (huyo mdada) ulimsaidia??? Ha ha ha
Hatakama hizo % ni nyng ila maranyng ni kwel
Ukiwambal utasaliti na yy atakusalit
 
Wewe akili yako ni ndogo sana, mwanamke yoyote asiyejiheshimu anaweza kuliwa uroda, na dereva wa bodaboda ili apande bure, anaweza kuliwa na muuza uzuri na msafisha kucha, anaweza kuliwa chooni na bosi ofisini, anaweza kuliwa na house boy, anaweza kuliwa kwa offer za bia na nyama choma, anaweza kuliwa kwa ufukara ulionao mwanume, atatowa nyapu kwa vidume wengine ili apate pesa.

Wanaume kamili na wanaojielewa swala la kugongewa huwa hawaliwazi kwa sababu ni upuuzi mtupu, management ya mwili wa mwanamke anayo mwanamke mwenyewe, haijarishi mnaishi wote au distance fulani.

View attachment 364164

Wisdom!!
 
Afu Wanakuwaga Watamu hao... maana mkishindilia vizuri anakubana hadi unashindwa kupump vizuri dah jinsi anavyonogewa
Acha tabia hii, kumbuka what goes around comes around
 
Back
Top Bottom