90% ukiishi mbali na mkeo 'utamegewa'

Markomx

JF-Expert Member
Apr 23, 2016
701
701
Habarini wakuu,

Kwa utafiti mdogo nilioufanya asilimia kubwa wanaoishi mbali na wake/waume zao ndoa zao haziko salama,Unaweza jipa moyo kua sio wote,lakini ukumbuke haya mambo yanaendeshwa kwa siri sana hasa kwa upande wa wake za watu.Changamoto inayowakumba ni kutofanya mapenzi kwa mda mrefu,kinachofuata wanajua wenyewe.

Jumamosi iliyopita nilikutana na mdada moja kwenye bendi moja maarufu hapa mjini,ni mdada anaejiheshimu,kimazingira alionekana ni mgeni wa maeneo ya kujirusha,nilikaa nae meza moja alionekana anamawazo na hofu.

Ndipo kumuuliza, akaniambia anajutia kwa alichokifanya leo,ametoroka nyumbani bila kumtaarifu house girl, anakatoto kamoja, ila ndo hivyo upweke umemshinda,mmewe ni mjeda, yupo kikosi flani ni mkoa wa mbali siwezi taja, akaniambia hua anarudi home kwa mwaka mara moja,ni kajua tatizo lake ni nini linalomsumbua,

Wakuu kama unapiga kazi mahala fanya hima uhame na mkeo,maana unaweza kuta unalea watoto wa wenzio.
 
Siku zote ktk mapenz ukiishi kwa wasiwas ya kumegewa ni hatari sana. Nikujiamin tu mkuu mwanamke akiamua kumegwa anamegwa tu hata km upo naye. Utafutaji kwanza mengine yatafuatwa.
Ila ukigundua nikupiga chini tu au unamfanya beki 3 tu
 
Back
Top Bottom