Hapa nani alifeli kati ya mwanamke na mwanaume

Hapa nani alifeli kati ya mwanamke na mwanaume

ufisadi no

Member
Joined
Jun 20, 2012
Posts
97
Reaction score
34
Wakuu habari za weekend.

Mwaka 2001 nilikuwa Kijiji fulani nafanya kazi ndo first appointment na nilikuwa sijaoa,kutongoza sijui na nyege kama zote Hadi zimevunda.

Nilipokuwa ninakaa palikuwa na Bomba,basi Kuna mdada akawa anakuja kuchota maji baadaye tukazoeana na hata sielewi ilikuwaje Hadi nikazoeana na dada yule alikuwa mzuri sana nami sikuwa na mazoea na watu.

Akawa ana mazoea ya kuja pale nyumbani nilipokuwa naishi hasa siku za weekend mara nikufulie nguo,nikupikie,nikufanyie usafi Mimi nakataa tunapiga story huku Mimi nafanya kazi zangu.

Kuna siku alikuja kuchota maji asubuhi AKIJUA mi Niko kazini akashangaa kuona mlango umefungwa kwa ndani akaniita nikaitika akauliza unaumwa Mimi nikajibu ndiyo kumbe uwongo na siku hiyo kulikuwa na maulid.

Akasema anaenda nyumbani atakuja Tena Mimi nikaamka nikafungua mlango nikarudi chmbani.

Alipo kuja alikuta mlango wa sebuleni umeegeshwa akaingia ndani Moja kwa Moja akaja chumbani na kunifunua nilipo lala huku pole kibao na kunibusu juu. Wakati haya yanaendelea kumbe devil Yuko pembeni mdada yule alivua nguo na kuja kitandani kwa kweli aliinjoi maana nilikuwa na zaidi ya miezi sita sijapata mbususu.

Baada ya hapo mahusiano yakaendelea na akaja kuniambia kuwa ameolewa na ana mtoto mmoja kwa wakati huo alikuwa na miaka 4.

Nilipojua ameolewa NIKIRUDI nyuma futi 99999999 baadaye akanifuata na kunielewa ya moyoni. Alieleza kuwa yeye na mme wake hukaa Hadi miezi 3 bila sex jamaa akifika kutoka kwenye shughuli zake pale kwa bedi hugeukia ukutani Hadi asubuhi. Alisisitiza kuwa Kuna wakati anatamani jamaa Hana mpango.

Nikamuuliza maswali ya dodoso huenda Kuna mtu anatoka na mme wake naye Binti alikana na kusisitiza kuwa amechunguza majibu jamaa Hana mahusiano na mwanamke yeyote. Baharia NILITAKA kujua kuhusu mtoto aliye naye dada alikiri kuwa ile mimba alipewa na jamaa wa kijijini kwao.

Basi niliendelea kupata huduma muda wote ninapohitaji hadi nilipo oa na niliendelea kumpa huduma ya mkunyenge na baadaye nilihamishiwa mjini na mahusiano yetu yaliishia hapo.

Hapa mjini nilikutana Tena na dada mwingine ilikuwa 2013. Huyu nilikuwa najua ameolewa basi tukazoeana badilishana namba za simu tukawa tuna wasiliana.

Siku Moja jioni kama saa moja akanitext umeoa? Nikamwambia ndiyo akajibu ana Raha kweli mkeo. Kabla sijamuuliza kwa nini AKANIAMBIA ungekua hujaoa ungenikoma. Nikamuuliza wewe mbona umeolewa una mme wako?

Akanijibu unafikiri wote walioolewa Wana wanaume? Kabla sijamuuliza AKANIAMBIA naomba uje sehemu fulani ninashida nikamwambia basi Mimi nakupigia uniambie shida nikaulizwa kwani Mimi nimekuambia sina Salio la kupiga naomba uje usafiri juu yangu.

Mimi nikaenda aliposema tukutane. Nimefika pale dada kafunguka na kuniambia kuwa ana miezi minne hajapata mkunyenge na maeneo tuliyokuwa yalikuwa ya kishetani. Kwanza nilimpa alifurahi balaa.

Baada ya hapo akanieleza Hadi ya chumbani kuwa mme wake Yuko busy na biashara akirudi no time yeye ni USINGIZI tu.

Hadi Sasa namhudumia habari za mkunyenge Kila akihitaji naye anahudumia kwani akiona simu nimetumia muda fulani ananiuliza baada ya simu hii ungependa utumie Sim Gani namwambia nashangaa anakuja na sim mpya Toka dukani kwao anasema tumia hii hiyo uza maana biashara Yao ni vitu vya electrics.

Sasa hapa nani alifeli? Mwanamke aliyeolewa na mtu asiyejua udhaifu wa mkunyenge au mwanaume mwenye mkunyenge dhaifu?
 
Hizi Stori Zishazidi Ukigonga na Wewe utagongewa pia. Na huyo Mkeo atakayegongwa atasema Kama Hao Wanawake.

Kwenye Mapenzi ya Hivyo Ujue hapo Hakuna Ukweli hao wanawake wengi Waongo Ili Wakuchote Akili
 
Endelea kuwahudumia mkuyenge bloo, ila kumbuka hauna macho ule, huwa unaingia popote na shimo lolote. Wewe ona u-check Norris tu kujisifu.
 
Anyway,
Dawa yako inakuja [emoji4]
IMG_20210918_235422.jpg
 
Back
Top Bottom