90% ukiishi mbali na mkeo 'utamegewa'

90% ukiishi mbali na mkeo 'utamegewa'

wanaosema wapo wanaojiheshimu hawajui ichi kitu,mwanamke hatafuti jamaa mitaa ya kalibu na nyumba yenu,anatafuta mtu wa mbali kidogo ili kuweza kutunza siri na mtaa unaokaa wasimshtukie,hivyo basi wewe mwanaume hata ukiweka shushu binafsi haambulii umbea wowote,wanakutania mitaa ya mbali wanafanya yao hata mtaani haijifichi,utaishiwa kuambiwa tu SHEMU YUPO SALAMA BUANA
 
Kwani wakimega wanaondoka na papucha, ile kitu hainaga makombo, ikifanyiwa usafi na Kama sijui kilichoendelea, aaaaaa! najilia kiroho safi, So far sikumkuta bikra.
 
Ww wa wapi mkeo akimegwa nje anawezat kuk utana ha ujuzi mpya.... hukawii kuachwa kwenye basi la mwendokasi!

Sio ujuzi mpya bhana sema anakutana na m bo o tofauti na yako lkn sio mpya. Ila muache tu abadilishe kwanini bhana waiiii!
 
Mh!!! huu utafiti wa sample moja ni kiboko ya tafiti zooote...🙄😵
 
nimetolea mfano mke wa mjeda lengo si kukatisha tamaa walinzi wetu wa taifa,hapana ila huu mfano kwa watu wote wanaoishi na wame/wake zao mbali,kama wafanyabiashara,wanaoenda kwenye masomo kwa muda mrefu,wafanyakazi wa kada mbalimbali,n.k,mke wa mjeda ni moja ya mfano hai kwangu,
 
Methali ya fimbo ya mbali haiui nyoka haikutoke hewani,waliyo ibuni waliangalia mwenendo wa mapenzi ya watu duniani
 
Mh!!! huu utafiti wa sample moja ni kiboko ya tafiti zooote...🙄😵

mkuu ako ni kapart tu kanachoreflect hali halis,ila kuna kundi la wafanyabiashara mfano ninao,wafanyakazi wa kada mbalimbali nk
 
Hakuna mwanamke kamili chini ya jua anaeweza kukaa mwaka bila kufanya ngono, hajazaliwa labda asagwe au ajisage mwenyewe. Mjeda apambane na bunduki watu wapambane na mkewe.
 
Wewe akili yako ni ndogo sana, mwanamke yoyote asiyejiheshimu anaweza kuliwa uroda, na dereva wa bodaboda ili apande bure, anaweza kuliwa na muuza uzuri na msafisha kucha, anaweza kuliwa chooni na bosi ofisini, anaweza kuliwa na house boy, anaweza kuliwa kwa offer za bia na nyama choma, anaweza kuliwa kwa ufukara ulionao mwanume, atatowa nyapu kwa vidume wengine ili apate pesa.

Wanaume kamili na wanaojielewa swala la kugongewa huwa hawaliwazi kwa sababu ni upuuzi mtupu, management ya mwili wa mwanamke anayo mwanamke mwenyewe, haijarishi mnaishi wote au distance fulani.

View attachment 364164

pale jiwe linaporushwa gizani
 
Hakuna mwanamke kamili chini ya jua anaeweza kukaa mwaka bila kufanya ngono, hajazaliwa labda asagwe au ajisage mwenyewe. Mjeda apambane na bunduki watu wapambane na mkewe.

kweli mkuu
 
Hakuna mwanamke kamili chini ya jua anaeweza kukaa mwaka bila kufanya ngono, hajazaliwa labda asagwe au ajisage mwenyewe. Mjeda apambane na bunduki watu wapambane na mkewe.

kweli mkuu
 
Back
Top Bottom