Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,155
- 137,168
Hata ukiishi naye kwenye chumba kimoja kama ni wa kumegwa atamegwa tu!
Asantee mkuuPole mkuu
Ukishakuwa na imani na mwenzio yatosha
Ngoma droo,,Mleta mada anaweza akawa na kaukweli flani lakini sio wanawake tu..kwani hao wanaomega wanawake walio mbali na waume zao nikina nani?? Na wewe mleta mada uliyemega mke wa mjeda si mume wa mtu??? Hata wanaume wanaokaa mbali na wake zao wana ni shida...wote wako sawa tu
UTAFITI_WA_MWENDOKASI.Kwa Hiyo utafiti umeishia kwa huyo mmoja alafu imekuwa 90% ........
Basi sawa...!
mh,,..!!! mkuu hkula kwel!????
Mmegwaji hata ukiwa unaenda nae kazini au kuishi nae karibu atamegwa tu over
Me mwenyewe niko mbali nae ila najua anamegwa huko ingawa anavunga inocent so na mimi namega kisela