- Thread starter
- #81
Hakuna mwanamke kamili chini ya jua anaeweza kukaa mwaka bila kufanya ngono, hajazaliwa labda asagwe au ajisage mwenyewe. Mjeda apambane na bunduki watu wapambane na mkewe.
kweli mkuu
Hakuna mwanamke kamili chini ya jua anaeweza kukaa mwaka bila kufanya ngono, hajazaliwa labda asagwe au ajisage mwenyewe. Mjeda apambane na bunduki watu wapambane na mkewe.
nimetolea mfano mke wa mjeda lengo si kukatisha tamaa walinzi wetu wa taifa,hapana ila huu mfano kwa watu wote wanaoishi na wame/wake zao mbali,kama wafanyabiashara,wanaoenda kwenye masomo kwa muda mrefu,wafanyakazi wa kada mbalimbali,n.k,mke wa mjeda ni moja ya mfano hai kwangu,
Pole mkuu,ukija kushtuka ili utafute familiani kweli mkuu mimi sijaoa ila namega sana wake za watu ambao waume zao wapo mbali yani hadi wanigombania hapa job coz mimi ndio bachela pekee yangu wengine wameoa yani nawafaidi sana halafu hawana gharama
Daaaah! Umenikumbusha mbali sana mkuu.... kuna mke wa msoja mmoja katoka Dar mpaka mkoani kunifuata asee! Baada yakupata alichotafuta nikamwambia pitaa hiviii mambo yakujakutafutwa na AK 47 kama gaidi haikubaliki....
upumbavu,kutojitambua na kutojithamini wewe km mwanamke!
umalaya ni hulka haijalish mwenza yuko mbali au karibu
Mke akimegwa kwa mwez mala moja usimwache mshukuru xna koz kakuheshm xn
ni kweli mkuu mimi sijaoa ila namega sana wake za watu ambao waume zao wapo mbali yani hadi wanigombania hapa job coz mimi ndio bachela pekee yangu wengine wameoa yani nawafaidi sana halafu hawana gharama
Hao Mimi nishakutana nao sana tu, najua wengi wao wana msongo wa mawazo, wengi wanatulizwa na SMS za wapenzi wao, Mimi nikiwakamata ni kujituma hasa, ila nasisitiza kuhrshimu mume wake
Utakufa na presha ukiwa unawaza hivyo, unaacha kuwaza mambo ya maendeleo unakaa kumuwaza mke kuwa anamegwa, kuna shida gani mtu akitoa kitu chake bwana?
Nafumuliwaje mkuu, jamaa yupo Moro, Mimi nakamulia manyaraYour days are numbered iko siku utatuletea mrejesho humu kuwa tayari umeshafumuliwa [emoji102]
unaenjoy kufumuliwa marinda?Olewako ukute umekula iyo kitu mjeda akigunduwa jiandae kutafuta samaki kwenye sakafu au ampe afumuwe rinda hahahaha teh[emoji126] [emoji108] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu nitake radhiUlibemendwa utotoni wewe[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hahaaaaaa,uliona mbali mkuu,
jipe moyo mkuu.Ukishakuwa na imani na mwenzio yatosha