90% ukiishi mbali na mkeo 'utamegewa'

90% ukiishi mbali na mkeo 'utamegewa'

Jamaa ameidharirisha sana fani ya utafiti scope ya kazi mtu mmoja sample size mtu mmoja hamna statement of the problem hamna literature review na pia hamna recommendation na conclusion data collection imefanyika kwa mtu mmoja halafu Bar na huyo mtu hakumegwa ameongea tu. Tuna kazi sana hii nchi

Ndio wasomi wetu hao. Halafu tunataka maendeleo kwa "tafiti" kama hizi.
 
Kuna mazingira ni ngumu kuyakwepa, mfano: Uko kwenye mji uliopanga kuwa ndiyo makao yako, umejenga nyumba yako na pia una watoto wako ambao wako shule, pia una vijimiradi yako, ya kukupunguzia ugumu wa maisha, huku ukiwa mwajiliwa iwe serikalini au sekta binafsi. Alafu upewe uhamisho wa kwenda mkoa mwingine, ni ngumu kuhama na familia. Mke mwenye ndiye anaehitaji kujittambua, alitakiwa amjulishe mumewe juu ya hali yake, amezidiwa na ukame alafu wapange nani amfuate mwenzie. Hata hivyo nina shaka na huyo bw. Kuitembelea mara moja kwa mwaka familia yake, ni hatari sana, Tanzania hii siku hizi hakuna mbali kihivyo.
 
mkuu,kwa maisha ya kikosini,unaweza kata hata miaka 3 hujarudi,ni wepes wako tu
 
Ni ukweli mtupu kuhusu huu uzi.. Mimi nina jamaa yangu ana mke na wamefunga ndoa takatifu ya KIKRISTU anafanya kazi mkoa fulani jina (kapuni) sekta ya umma na mkewe yupo jijini Dar pia sekta ya umma. Wanaonana kwa nadla sana...mara 1 baada ya miezi minne hadi mitano, mpaka jamaa analalamika kuwa tayari ashawaambia wazee wake kijijini ataoa mke mwingine. Hii kitu siyo ya kupuuza hata kidogo. Kwa upande mwingine kama wanandoa au wapenzi uchumi unaruhusu wala siyo shida..., mfano mwaweza kutana siku yoyote au weekend kwa kukwea pipa (Fastjet, Precision Air)
 
mkuu,kwa maisha ya kikosini,unaweza kata hata miaka 3 hujarudi,ni wepes wako tu
Sina uzoefu na maswala ya kijeshi, ila kuna rafiki yangu huwa namuona anakuja likizo kila mwaka, nikamuuliza nyie likizo zenu si mpaka miaka mitatu, mbona wewe kila mwaka unakuja, alinijibu kuwa: Likizo wao kila mwaka ipo ispokua ya kulipwa ndiyo kila baada ya miaka mitatu, na aliongeza kuwa ruhusa pia zipo huko inategemea na sababu zako tu, kwahiyo inawezekana uzito wa huyo jamaa ni wa kuto jali familia yake wenda anamiliki nyumba ndogo huyo. Kuna muhindi nilikua nafanya kazi kwake, siku nikimwambia leo naenda kulala nyumba ndogo, alikua ananishauri kwa kusema: Haa Nahonyo bana jenga nyumba kuba banaa, nyumba iko bana sana utalalaje nyumba ndogo Nahonyo, ukiwa na toto utaweka wapi banaa.
 
Ishi kwa matumaini kugongewa haikwepeki labda asiamue kiasili mwanamke hua anahuruma sana na ukimsumbua sana hata kama kaolewa atakupa nyama uitafune
 
Ishi kwa matumaini kugongewa haikwepeki labda asiamue kiasili mwanamke hua anahuruma sana na ukimsumbua sana hata kama kaolewa atakupa nyama uitafune
Miezi sita naweza lakin ikizidi hapo nazidiwa aisee,
Mi mwanaume akiwepo kila siku sidhan kama naweza toka nje na siwezi
 
Back
Top Bottom