90% ukiishi mbali na mkeo 'utamegewa'

90% ukiishi mbali na mkeo 'utamegewa'

Ni kweli mkuu japo hukuipanga mada yako vzr habari ndio hiyo.
 
Habarini wakuu,

Kwa utafiti mdogo nilioufanya asilimia kubwa wanaoishi mbali na wake/waume zao ndoa zao haziko salama,Unaweza jipa moyo kua sio wote,lakini ukumbuke haya mambo yanaendeshwa kwa siri sana hasa kwa upande wa wake za watu.Changamoto inayowakumba ni kutofanya mapenzi kwa mda mrefu,kinachofuata wanajua wenyewe.

Jumamosi iliyopita nilikutana na mdada moja kwenye bendi moja maarufu hapa mjini,ni mdada anaejiheshimu,kimazingira alionekana ni mgeni wa maeneo ya kujirusha,nilikaa nae meza moja alionekana anamawazo na hofu.

Ndipo kumuuliza, akaniambia anajutia kwa alichokifanya leo,ametoroka nyumbani bila kumtaarifu house girl, anakatoto kamoja, ila ndo hivyo upweke umemshinda,mmewe ni mjeda, yupo kikosi flani ni mkoa wa mbali siwezi taja, akaniambia hua anarudi home kwa mwaka mara moja,ni kajua tatizo lake ni nini linalomsumbua,

Wakuu kama unapiga kazi mahala fanya hima uhame na mkeo,maana unaweza kuta unalea watoto wa wenzio.
Nchi hii inazidi kuwa maskini kwa kuwa na raia wengi wenye poor mind kama huyu.
 
ni kweli mkuu mimi sijaoa ila namega sana wake za watu ambao waume zao wapo mbali yani hadi wanigombania hapa job coz mimi ndio bachela pekee yangu wengine wameoa yani nawafaidi sana halafu hawana gharama
 
uo ni mfano mmoja mkuu,mifano ninayo mingi ningeiandka yote thread ingeboa,iyo ni sample
Wewe akili yako ni ndogo sana, mwanamke yoyote asiyejiheshimu anaweza kuliwa uroda, na dereva wa bodaboda ili apande bure, anaweza kuliwa na muuza uzuri na msafisha kucha, anaweza kuliwa chooni na bosi ofisini, anaweza kuliwa na house boy, anaweza kuliwa kwa offer za bia na nyama choma, anaweza kuliwa kwa ufukara ulionao mwanume, atatowa nyapu kwa vidume wengine ili apate pesa.

Wanaume kamili na wanaojielewa swala la kugongewa huwa hawaliwazi kwa sababu ni upuuzi mtupu, management ya mwili wa mwanamke anayo mwanamke mwenyewe, haijarishi mnaishi wote au distance fulani.

1467968357933.jpg
 
Utakufa na presha ukiwa unawaza hivyo, unaacha kuwaza mambo ya maendeleo unakaa kumuwaza mke kuwa anamegwa, kuna shida gani mtu akitoa kitu chake bwana?
Eti eeeeh!!! isikie kwa jirani.
 
Habarini wakuu,

Kwa utafiti mdogo nilioufanya asilimia kubwa wanaoishi mbali na wake/waume zao ndoa zao haziko salama,Unaweza jipa moyo kua sio wote,lakini ukumbuke haya mambo yanaendeshwa kwa siri sana hasa kwa upande wa wake za watu.Changamoto inayowakumba ni kutofanya mapenzi kwa mda mrefu,kinachofuata wanajua wenyewe.

Jumamosi iliyopita nilikutana na mdada moja kwenye bendi moja maarufu hapa mjini,ni mdada anaejiheshimu,kimazingira alionekana ni mgeni wa maeneo ya kujirusha,nilikaa nae meza moja alionekana anamawazo na hofu.

Ndipo kumuuliza, akaniambia anajutia kwa alichokifanya leo,ametoroka nyumbani bila kumtaarifu house girl, anakatoto kamoja, ila ndo hivyo upweke umemshinda,mmewe ni mjeda, yupo kikosi flani ni mkoa wa mbali siwezi taja, akaniambia hua anarudi home kwa mwaka mara moja,ni kajua tatizo lake ni nini linalomsumbua,

Wakuu kama unapiga kazi mahala fanya hima uhame na mkeo,maana unaweza kuta unalea watoto wa wenzio.

Sasa mbona hujamalizia story?? Ulimfanyaje mke wa mjeda? Ha ha ha!
 
mimindioyule mjeda mnayesema humu, kumbe ndicho wife anakifanya akibaki huku wkati mi najitoa mhanga kwa yafifa akiwemo yeye eh....nishajua ukweli narudi
 
upumbavu,kutojitambua na kutojithamini wewe km mwanamke!
umalaya ni hulka haijalish mwenza yuko mbali au karibu
 
Habarini wakuu,

Kwa utafiti mdogo nilioufanya asilimia kubwa wanaoishi mbali na wake/waume zao ndoa zao haziko salama,Unaweza jipa moyo kua sio wote,lakini ukumbuke haya mambo yanaendeshwa kwa siri sana hasa kwa upande wa wake za watu.Changamoto inayowakumba ni kutofanya mapenzi kwa mda mrefu,kinachofuata wanajua wenyewe.

Jumamosi iliyopita nilikutana na mdada moja kwenye bendi moja maarufu hapa mjini,ni mdada anaejiheshimu,kimazingira alionekana ni mgeni wa maeneo ya kujirusha,nilikaa nae meza moja alionekana anamawazo na hofu.

Ndipo kumuuliza, akaniambia anajutia kwa alichokifanya leo,ametoroka nyumbani bila kumtaarifu house girl, anakatoto kamoja, ila ndo hivyo upweke umemshinda,mmewe ni mjeda, yupo kikosi flani ni mkoa wa mbali siwezi taja, akaniambia hua anarudi home kwa mwaka mara moja,ni kajua tatizo lake ni nini linalomsumbua,

Wakuu kama unapiga kazi mahala fanya hima uhame na mkeo,maana unaweza kuta unalea watoto wa wenzio.
Hapo ngoma iko very simple, akigongewa na yeye agonge. huu mchezo bana hautaki hasira
 
Unaweza kuishi na mkeo Pamoja, na akamegwa hata kwenye gari, hata Bafuni hata kwenye kona ya nyumba na mtu baki, na unaweza kaa mbali na mkeo akajiheshimu, inaanzia na tabia, malezi, makuzi ya mwanamke mwenyewe, wanawake sio kama fomula ya Mathematics!
 
Tuambie hii ni research methodology gani umetumia? sample ya mtu mmoja imetoa conclusion ya asilimia 90 ya wanandoa wasioshi pamoja (kwa wakati fulani). Tuache wataalamu wa tafiti wafanye kazi yao, hii ni namna rahisi kabisa ya kudhalilisha tafiti.
 
Kuna wanawake wanaojua kutunza ndoa zao hiyo habari hawaiwazii kabisa ila kuna wengine ukitega mgongo alisha anza kumuandaa jamaa yake cha msingi ni kutafuta maisha siku ukimfumania iwe ndio mwisho wa mchezo lakini kama na wewe una tabia kama hizo huo ni mshahara wako usilalamike maana malipo hapahapa
 
Back
Top Bottom