Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,848
- 37,551
Plus GermanyHakuna nchi ya argentina wala urusi, italia na ukraine?
Plus GermanyHakuna nchi ya argentina wala urusi, italia na ukraine?
Mi naona list ya mtoa mada imebase kwenye ubaguzi wa dini na ukabila ila sio ubaguzi wa rangiKuhusu waarabu ubaguzi wanao ila waarabu ni watu ambao ni wepesi kujichanganya na asili nyingine.
Pigia mfano hapa Tanzania.
Waarabu tuko nao mitaa ya uswazi tunafanya nao mambo mengi na tunashirikiana nao sana tu.
Kuna nchi za kiarabu hazina asili ya weupe completely kama Yemeni.Huko kuna ukabila ila ubaguzi wa rangi hakuna.
Misri nakataa HAWANA UBAGUZI KIASI HICHO MAANA HAO WATU WAMECHANGANYIKA SANA NA WEUSI.
HAO WATU NIMESOMA NAO NA NIMEKAA NAO WAMISRI SIYO WABAGUZI KIASI HICHO.
Ila wahindi wanastahili kuwa number moja maana hata hapa Tanzania wahindi wanajitenga sana na wanajibagua waziwazi na wengine.Ukifuatilia ht Tz wamejitenga mitaa ya kivyao wahindi ni wabaguzi wanabaguana mpk wenyewe kwa wenyewe.
Ila hii list kama Italy,USA,China na Korea hazipo hii list haifai.
Maana hayo mataifa yana ubaguzi kiasi cha kuita watu weusi kinyaa.
Bro bora hizo nchi , usibishe India ina ubaguz hatar usiombe mkuu , nchi kama Italy , USA na China wananchi ni wabaguzi ila serikali zao zinaweza kukulinda ila India aliwai kufa mtu kituo cha polisi , anapigwa kwasabab alibaguliwa na raia akawajibu kwann mnanibagua sisi sote ni sawa , so sad mkuuYani katika hii list kuikosa Italy,USA,China.
List haina maana pia kuikosa Spain na Israel hii list haimeki sensi
Ubaguz unazidiana , nenda india ukajionee , sio serikali sio wananchi ,yaan hata kuna baadhi ya haki zako unaeza zikosa kisa ww mweusi , wazungu wana aibu muda mwingineKama Italy haipo hii list ni BATILI.
Hujaeleweka mkuu... lakini hao wazungu hawamo kwenye hiyo list ya racists! Kuna swali limeulizwa mara nyingi ila halijawahi pata majibu ya kueleweka; kwamba slave lords walikuwa arabs ila "people of color" hawapo uarabuni; why?
Waarabu ni nyoko usibishe , wazungu ni wabaguzi ila wana aibu fulan hv , ila muarabu anaeza kukubagua hata kwenuSwala ni racism au ni slave trade??!
Kama ni slave trade basi wahenga walisema; "Aliyekutwa na ngozi ndiye mwizi", na kuhusu racism Martin Luther king jr alipokuwa anahutubia maandamano ya kudai haki za kiraia ikiwa ni pamoja.na kupinga ubaguzi dhidi ya mtu mweusi huko Marekani alipata kusema katika; "----- I have a dream that one day my four little children will one day live in a nation where they will not be judged by the colour of their skins but by the content of their characters---" ,, huko alikuwa akiwahutubia Wazungu wabaguzi.
Mkuu India mji gani wenye ubaguzi wa kiwango hiko?? Ulikuwa Kolkata au sio??Ubaguz unazidiana , nenda india ukajionee , sio serikali sio wananchi ,yaan hata kuna baadhi ya haki zako unaeza zikosa kisa ww mweusi , wazungu wana aibu muda mwingine
Utafit ni wa kweli... ukiacha hilo la ubaguzi wa wahindi ambalo unadai ni jadi yao; what is your standing? Unakubaliana au hukubaliani na matokeo ya utafiti unaojadiliwa hapa?
Mbona marekani imewa ongozwa na rais mweusi , je tuseme usa hakuna ubaguz ? Kuna hoja hupaswi kutumia kuhararisha mamboSio kweli, hata msikiti mkuu wa Makka moja wa maimamu yupo mweusi tii.
Sudan , mwanamke mwanamitindo ameandamwa kwa kuolewa na mwaume mweusiHata na mimi nashangaa mbona wameweka nchi za Asia na North Africa tu hakuna America wala Eastern Europe?
Egypt haipaswi kuwa kwenye list kwa kweli wale wamechanganyika sana hata hao waarabu weupe ni wachache kuliko hao mchanganyiko.
So tbc imetekwa kumbeDini zimewakaa. Kwa wahindi ni Uhindu "Hinduism", na kwa waarabu Uislamu "Islamism".
Wengine ni Wayahudi na dini yao ya Judaism, ambao wameteka mshirika.ya habari wasiandikwe vibaya.
Ingependeza kuangalia dini na ubaguzi wa rangi.


Not necessarily bro. Kuna mifano kadhaa. Ukiangalia hizo nchi hapo juu, nyingi ni za Kiarabu, ukiachilia mbali India, Philippines na Afrika kusini.Hapa muhanga mkuu wa haya makitu ni mutu mweusi
USA hakuna kiwango kikubwa cha Ubaguzi ukilinganisha na Ulaya hasa Ulaya ya magharibi.Mbona marekani imewa ongozwa na rais mweusi , je tuseme usa hakuna ubaguz ? Kuna hoja hupaswi kutumia kuhararisha mambo
USA itoe hatakama ubaguz upo lakin nawezasema hii ndo nchi pekee ambayo mablack wanainjoy nakujitengenezea ufalme kabisa hv unawezaenda india ukakuta mweusi anaumaarufu flan nakuheshimiwa! Achia mbali huko kwa waarabuYani katika hii list kuikosa Italy,USA,China.
List haina maana pia kuikosa Spain na Israel hii list haimeki sensi
Hatareee Mzee!Mbona manchi yenyewe ni matakataka tu hamna maisha uko





Akina prince Boateng wanainjoy naufalme wanao nijambo huwez likuta huko asian countryKama hakuna Germany ni utani tu.
Argentina ndiyo nchi mbaya sana kwa ubaguzi wa rangi. Katika nchi za bara la america ya kusini, ni nchi iliyokuwa inaongoza kwa kuwa na weusi wengi. Lakini karne ya 19-20 walianzisha mipango ya kishetani kuua weusi kwa kutumia chanjo, vifungo vya maisha etc...mpaka kizazi chote cha weusi kikapotea.Hakuna nchi ya argentina wala urusi, italia na ukraine?
Aiseeeee?Waliobahatika kwenda uarabuni kama watumwa walihasiwa. Pia kulikuwa sheria kali sana kwa mwanamke wa kiarabu kumsogelea mtu mweusi na huenda kama ilitokea kwa bahati mbaya akazaliwa mtoto mweusi baina mwarabu na mweusi basi yule mtoto aliuliwa.



Iyo listi nchi za kobaaz ndo zinaongoza kwa ubaguz. Taifa teule haipo kwenye iyo list mmezidi tu kuisingizia. Makobaaaz ndo mabaguzi Sana hata wenyewe kwa wenyewe.