Inawezekana unayoyasema ni kweli , Iran,Uturuki,Oman,India kote huko kuna mabaki ya watu weusi..
Ukweli ni kwamba hizo nchi watu weusi hawapati exposure,..
Kule Oman kuna mji unaitwa Salala,huo mji umejaa watu weusi,Wenyeji wa Salala wanajulikana kama ndio wenyeji halisi wa Oman,ukweli ni kwamba hao ni mabaki ya Watumwa
Ukienda Pakistani pale karachi,utakutana hawa watu wanaojiita SIDI,
Hawa watu wengi wao wanatokea jimbo la Baluchistan,hawa nao ni masalia ya Watumwa kutoka East Afrika,hanakubali moja kwa moja kuwa original yao ni Kutoka Zanzibar..
Uturuki,Iran,Palestina habari ndio hizo hizo,..
Uislam,unamtukuza sana mtu mweusi,kutoka katika aya za Quran,mpaka hadithi za masahaba mtu mweusi ana thamani.sana,..
Kwa vile.Middle.East dini yao kubwa ni Uislam,bila shaka watakuwa wanajua Thamani ya Black Man..
Tafakari,Don't belive everything you read on Newspapers