9 Most racist Countries in the World

9 Most racist Countries in the World

Hivi Watanzania nyie huwa mnasoma jambo kabla ya ku comment ama?

Maana naona Watu wanabishana na takwimu ili hali taarifa imejieleza kwamba kuna uwezekano mkubwa tu wa takwimu kutofautiana kutoka moja hadi nyingine...hivyo ni jukumu lenu kutoka na kutafuta matokeo ya tafiti tofauti tofauti na sio kubishana na tafiti za wengine.
 
Waliobahatika kwenda uarabuni kama watumwa walihasiwa. Pia kulikuwa sheria kali sana kwa mwanamke wa kiarabu kumsogelea mtu mweusi na huenda kama ilitokea kwa bahati mbaya akazaliwa mtoto mweusi baina mwarabu na mweusi basi yule mtoto aliuliwa.
Sio kweli mkuu mwarabu alifanya biashara ya watumwa na wanunuzi walikua wazungu hizo habar unazo leta ni matango pori
 
"Waliobahatika" yani kwenda utumwani ni bahati..?
 
... very funny unapinga tafiti za kisayansi bila kuleta majibu kinzani ya kisayansi pia. Hivi ukitembelea Dubai, Cairo, Delhi, Mumbai, Beirut, Manila, Tripoli, et. al. (I mean capital and commercial cities) ambako kuna mchanganyiko wa kila rangi unadhani utauona huo ubaguzi wa rangi? Utafiti umeenda chini kule kwenye grassroots kwa wananchi wenyewe.

Ni sawa na mgeni afike na kugeuzia Dar es Salaam halafu a-conclude Tanzania hakuna umasikini! Dah! Ni kwanini unahisi kwamba list imelenga kuzisafisha nchi za magaharibi? Hizo ni hisia zisizo na ushahidi wa kisayansi. Tatizo ni kwamba kile ulichotaman sana kiwe hakijakuwa - ndio kiini cha "kukataa matokeo".
Jomba tufafanulie kuhusu huu utafiti,
1)je utafiti uliofanywa kwa poll(possible internet poll)unaenda hadi chini kwa maana ya vijiji, kata na mikoa yote
2)imekuwaje taasisi mbili zilizofanya utafiti miaka tofauti zilete majibu yanayofanana,
3)je kati ya poll na visa halisi vya ubaguzi vinavyoripotiwa kipi kina nguvu,
4)je maswali yaliulizwa kwa mujibu wa race kwa sababu waarabu, wahindi na waafrika hawafanani.

Kukubali tu huu utafiti kwa sababu ya title yake haitoshi .
 
... lakini hao wazungu hawamo kwenye hiyo list ya racists! Kuna swali limeulizwa mara nyingi ila halijawahi pata majibu ya kueleweka; kwamba slave lords walikuwa arabs ila "people of color" hawapo uarabuni; why?
Click Hio link, kaangalie Hio research imefanywa vipi, research haijafanywa Dunia nzima Bali nchi chache tu na majority Ni za middle east na Asia.

Ni Kama mimi nifanye Utafiti WA Nchi masikini Dunia then Ni include nchi chache tu za ulaya basi nitapata jibu Poland Ni nchi masikini zaidi, ila nitakuwa sipo sahihi sababu research yangu haija Cover nchi masikini nyengine.

Kuhusu watu weusi Arabuni huyu mfalme WA Oman aliekufa sio mweusi? Saudi hawana Bilionea Mweusi? Amir WA Kuwait hakuwa na asili ya weusi?
 
Waarabu wana msemo wao..unasema ni bora shehe awe mlevi kuliko shehe kuwa mweusi..
Kaka huo msemo wa kiarabu sijui umetoka nchi gani ya kiarabu,bara Arabu ni kubwa wakiwa na tamaduni na mila tafauti

Katika hii listi Lebanon imetajwa kama nchi ya pili kwa ubaguzi(racisim),..

Sasa nikwambie kitu moja katika dhehebu kubwa la kiislam lenye nguvu baada ya Hizbollah ni dhehebu la Habshi

Dhehebu la Habshi lilianzishwa na mtu mweusi kutoka Ethiopia,huyu Sheikh alizunguka dunia akaishia Lebanon akanzisha Dhehebu laje

Warabu wa Lebanon wafuasi wa Habshia wanamtukuza Sheikh wao kama mtume

Ingia Youtube,peruzi Google kupata habari zaidi

Dini ya kiislamu inamtukuza sana mtu mweusi,katika kitabu cha Quran katika surah ya 15 aya ya 26,(alhijr 15:26), surah inasema ALLAH kamuumba binadamu wa mwanzo kwa udongo mweusi wa ufinyazi..

Kwakifupi Adam alikuwa mtu mweusi...

Wakati wa Mtume(saw),mtu anaeitwa Bilal ambae alikuwa mwafrika ndie alikuwa mtu wa mwanzo kuita sala(adhana)..

Hii list kuhusu Lebanon na Warabu haikukaa sawa,Warabu wanawakubali,Watu weusi,kuliko watu weusi tunavyojikubali

Tafakari
 
Hata wazungu msemo wao ni kama huo usemao; Ni bora padri mzungu awe mzinzi kuliko padre awe mtu mweusi asiye mzinzi.
Nchi za Wazungu hasa Marekani kuna makanisa ya watu weusi peke yao na Watu wazungu peke yao,...

kuna hata mistari ya biblia inayosema mtu mweusi kalaaniwa..
 
Sio kweli mkuu mwarabu alifanya biashara ya watumwa na wanunuzi walikua wazungu hizo habar unazo leta ni matango pori
Ahsante mwarabu wa Tabora kweli hamkufanya biashara ya watumwa.
Madoni wa utumwa na biashara ya utumwa ni Misri, nchi za Mashariki ya kati ambazo ni waarabu, Ugiriki, Dola la Kirumi na Mesopotamia. Baadae sana baada ya kuvumbuliwa Americas ndio watumwa wakaanza kupelekwa kwenye mashamba ya miwa, pamba, nk huko Amerika ila aliyejihusisha na ukusanyaji na usafirishaji viarabu hususani hivi vya Oman
 
Kaka huo msemo wa kiarabu sijui umetoka nchi gani ya kiarabu,bara Arabu ni kubwa wakiwa na tamaduni na mila tafauti

Katika hii listi Lebanon imetajwa kama nchi ya pili kwa ubaguzi(racisim),..

Sasa nikwambie kitu moja katika dhehebu kubwa la kiislam lenye nguvu baada ya Hizbollah ni dhehebu la Habshi

Dhehebu la Habshi lilianzishwa na mtu mweusi kutoka Ethiopia,huyu Sheikh alizunguka dunia akaishia Lebanon akanzisha Dhehebu laje

Warabu wa Lebanon wafuasi wa Habshia wanamtukuza Sheikh wao kama mtume

Ingia Youtube,peruzi Google kupata habari zaidi

Dini ya kiislamu inamtukuza sana mtu mweusi,katika kitabu cha Quran katika surah ya 15 aya ya 26,(alhijr 15:26), surah inasema ALLAH kamuumba binadamu wa mwanzo kwa udongo mweusi wa ufinyazi..

Kwakifupi Adam alikuwa mtu mweusi...

Wakati wa Mtume(saw),mtu anaeitwa Bilal ambae alikuwa mwafrika ndie alikuwa mtu wa mwanzo kuita sala(adhana)..

Hii list kuhusu Lebanon na Warabu haikukaa sawa,Warabu wanawakubali,Watu weusi,kuliko watu weusi tunavyojikubali

Tafakari
Good analysis ...lkn mkuu if so kwann kizaz cha watumwa weus wote waliopelekwa masharik ya kati hakikuendelea kama tunavoona weus wa ulaya na marekan...pale umesema waarabu wanawakubali sana watu weusii

Lkn kuna documentary moja niliichek tv ya al jazeera wanaonesha masaibu ya watu weus wanayopata pale wanajaribu kuku cross libya...walionesha ubaguz wa hatari kuna mwarabu alikuwaa hatak kuwagusa wanaijeria akidai atapata mikos au laana
 
Ahsante mwarabu wa Tabora kweli hamkufanya biashara ya watumwa.
Madoni wa utumwa na biashara ya utumwa ni Misri, nchi za Mashariki ya kati ambazo ni waarabu, Ugiriki, Dola la Kirumi na Mesopotamia. Baadae sana baada ya kuvumbuliwa Americas ndio watumwa wakaanza kupelekwa kwenye mashamba ya miwa, pamba, nk huko Amerika ila aliyejihusisha na ukusanyaji na usafirishaji viarabu hususani hivi vya Oman
Waarabu walipeleka watumwa marekani? Hii mpya, hebu tuletee source
 
Nchi za Wazungu hasa Marekani kuna makanisa ya watu weusi peke yao na Watu wazungu peke yao,...

kuna hata mistari ya biblia inayosema mtu mweusi kalaaniwa..

Halafu watu wanadai Biblia ni kitabu cha Mungu!!!
 
In some countries, people of many races, ethnicities, and nationalities are accepted and welcomed. Others aren't so lucky. Racism is a tough characteristic to measure. Many countries lack centralized tracking systems for racist incidents. Indeed, a surprising number of countries do not maintain track of its citizens' race and ethnicity, making tracing racist acts against them extremely impossible.

f10474df37b74cc8a108b8bb6438fbff

As a result, researchers frequently turn to more grassroots methods like personal surveys—and while racism may not appear to be a particularly sophisticated characteristic, assessing whether or not someone is racist based on a simple questionnaire can be tough. All of this is to say that identifying the world's most racist countries is a challenging task, and the results might vary from study to study.

The World's Most Racist Countries (Washington Post and Business Tech results combined)

1. India.
1f19d11748364192ac008dbc6f7981b2

2. Lebanon.
45324e4213cf442d905350f5cda81a4b

3. Bahrain.
7fe39f08f6724802a04756e71b14fcbc

4. Libya.
7f82732b09b24c08af1e7fb192c39637

5. Egypt.
5307b4b31fb744198a082be151fb4a04

6. Philippines.
e9434858fbdc41ab97cc0d14ded7bd1c

7. Kuwait.
4abf8a468ffd4ca184ce205167806e84

8. Palestine.
f9968ff96c6140779f533e7be5c5ab7c

9. South Africa.
9e6c759225f44f83bc326cfdf4ab94bd

According to the conclusions of the survey, India is the most racist of the countries examined. India, located in southern Asia, is the world's second most populous country, with 1.3 billion inhabitants. Residents of the country, according to polls, exhibit a high level of intolerance for persons with darker skin, whether they are of foreign ancestry (particularly Africans) or simply darker-skinned Indians. India has a low immigration rate and a small international population. As a result, the bulk of the people that live there are of Indian descent.

NOTE : In recent years, two separate and independent racism studies tested a total of 85,000 people from 61 nations, yielding results that differed from the BCR2020 but were comparable.

The first was a Washington Post poll done in 2013. The Key and basic question asked of each participant was if they would be comfortable living with someone of a different race. The second was a business experiment conducted in 2016. In a tech poll, respondents were asked if they had ever seen or experienced racism.

Source: Most Racist Countries 2021
India kuna wahindi weusi tiii,,tena kuliko blacks wa afrika.
Lakini ajabu nao pia wanawabagua waafrika.....
--Nilishawasikia wahindi wakituita nyani,,kwa masikio yangu mawili.
-- India ugomvi wa mtu mweusi muafrica na muhindi ni ugomvi wa wahindi wote dhidi ya muafrica 1.

The most recist countries I have witnessed.
--india.
--greece.
--china.
--south Africa.
 
... lakini hao wazungu hawamo kwenye hiyo list ya racists! Kuna swali limeulizwa mara nyingi ila halijawahi pata majibu ya kueleweka; kwamba slave lords walikuwa arabs ila "people of color" hawapo uarabuni; why?
walikuwa wanawaasi ili wasizaliane ila kwa wazungu waliruhusiwa kuzaliana na hata kuoa wazungu baadae lakini
 
Back
Top Bottom