Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,434
- 59,289
Is there any documented evidence about these allegations??
Jamaa anaandika kwa kukariri ila hajui historia kabisa
Abdallah Salim Al Sabah alikuwa ni Mfalme wa Kuwait zamani (mweupe)
Alimuoa kijakazi wao (mtumwa) na akazaa nae watoto na mmoja wa vijana wake Saad Abdallah Salim Al Sabah (mweusi kabisa kwa rangi ya mama) akaja kuwa Mfalme wa Kuwait baada ya binamu yake Sheikh Jabir kufariki
Kweli tembea uone dunia hii na mambo yake
I was there