... hilo mimi sijui maana hata ukidanganya tutajuaje? La muhimu, unakubaliana au hukubaliani na matokeo ya utafiti huu?Sio kweli, hata msikiti mkuu wa Makka moja wa maimamu yupo mweusi tii.
Sio kweli, binafsi katika nchi nilizotembea ni kwamba UARABUNI wanaobaguliwa ni WAHINDI, yaan Wahindi ndio wanatumikishwa sana kule uarabuni kuliko watu kutoka afrika.... hilo mimi sijui maana hata ukidanganya tutajuaje? La muhimu, unakubaliana au hukubaliani na matokeo ya utafiti huu?
Waarabu wana msemo wao..unasema ni bora shehe awe mlevi kuliko shehe kuwa mweusi..
Hata wazungu msemo wao ni kama huo usemao; Ni bora padri mzungu awe mzinzi kuliko padre awe mtu mweusi asiye mzinzi.
Hapa muhanga mkuu wa haya makitu ni mutu mweusi
Waliobahatika kwenda uarabuni kama watumwa walihasiwa. Pia kulikuwa sheria kali sana kwa mwanamke wa kiarabu kumsogelea mtu mweusi na huenda kama ilitokea kwa bahati mbaya akazaliwa mtoto mweusi baina mwarabu na mweusi basi yule mtoto aliuliwa.... lakini hao wazungu hawamo kwenye hiyo list ya racists! Kuna swali limeulizwa mara nyingi ila halijawahi pata majibu ya kueleweka; kwamba slave lords walikuwa arabs ila "people of color" hawapo uarabuni; why?
Nakubaliana na wewe; ubaguzi popote duniani upo hata ndani ya familia yako upo sema unatofatiana kiwango. Hiyo list iliyowekwa humu ya nchi ZINAZOONGOZA kwa ubaguzi haimaanishi nchi nyingine hazina ubaguzi including hizo ulizotaja; hata Tz ubaguzi upo.Sio kweli, binafsi katika nchi nilizotembea ni kwamba UARABUNI wanaobaguliwa ni WAHINDI, yaan Wahindi ndio wanatumikishwa sana kule uarabuni kuliko watu kutoka afrika.
Nimefika Spain huko kunatisha kwa ubaguzi, Pia baadhi ya majimbo ya Germany. Italia ni bora uishe ROME au MILANO utafurahi kidogo. Hizi nchi hapa chini usiombe uende huko utajisikia vibaya sana.
1. ICELAND
2. SPAIN
3. UKRAINE
4. LEBANON
5. ARGENTINA
6. RUSSIA
7. CHINA
8. KOREA
Nchi ambayo nilifika nikashangaa kwa ustaarabu kidogo hasa wakijua ww ni (MUSLIM) ni BOSNIA and HERZEGOVINA mji mkuu wao unaitwa SARAJEVO ni pale ambapo WW1 ilianzia. Ni nchi ya kiasi cha watu wapatao 3+M na mostly ni muslims (about 95%).
Ubaguzi upo, na hautoishi duniani, utashangaa hata France ubaguzi upo.
Wengine wanakataa mazishi kuongozwa na padiri mweusi in Norway.Hata wazungu msemo wao ni kama huo usemao; Ni bora padri mzungu awe mzinzi kuliko padre awe mtu mweusi asiye mzinzi.
... kumkataa padre mweusi kuendesha mazishi Norway haiodoi ukweli wa utafiti (scientific research) kwamba India, Lebanon, Bahrain, Libya, Egypt, Philippines, Kuwait, Palestine, and South Africa ndizo zinazoongoza kwa ubaguzi wa rangi dunani kwa sasa. Kunaweza kuwa na mabadiliko mbeleni huko kizazi kijacho ila kwa sasa hao ndio vinara!Wengine wanakataa mazishi kuongozwa na padiri mweusi in Norway.
Mbona hapo Russia ,waswahili wakienda kusoma ,naskia wanajipigia mabinti wanazaa na watoto hapo,Sio kweli, binafsi katika nchi nilizotembea ni kwamba UARABUNI wanaobaguliwa ni WAHINDI, yaan Wahindi ndio wanatumikishwa sana kule uarabuni kuliko watu kutoka afrika.
Nimefika Spain huko kunatisha kwa ubaguzi, Pia baadhi ya majimbo ya Germany. Italia ni bora uishe ROME au MILANO utafurahi kidogo. Hizi nchi hapa chini usiombe uende huko utajisikia vibaya sana.
1. ICELAND
2. SPAIN
3. UKRAINE
4. LEBANON
5. ARGENTINA
6. RUSSIA
7. CHINA
8. KOREA
Nchi ambayo nilifika nikashangaa kwa ustaarabu kidogo hasa wakijua ww ni (MUSLIM) ni BOSNIA and HERZEGOVINA mji mkuu wao unaitwa SARAJEVO ni pale ambapo WW1 ilianzia. Ni nchi ya kiasi cha watu wapatao 3+M na mostly ni muslims (about 95%).
Ubaguzi upo, na hautoishi duniani, utashangaa hata France ubaguzi upo.
Hata na mimi nashangaa mbona wameweka nchi za Asia na North Africa tu hakuna America wala Eastern Europe?Hakuna nchi ya argentina wala urusi, italia na ukraine?
Bado mtu mweusi anaendelea kutetea utumwa,nyambafuHata wazungu msemo wao ni kama huo usemao; Ni bora padri mzungu awe mzinzi kuliko padre awe mtu mweusi asiye mzinzi.
Bado mtu mweusi anaendelea kutetea utumwa,nyambafu
Dini zimewakaa. Kwa wahindi ni Uhindu "Hinduism", na kwa waarabu Uislamu "Islamism".Most of those countries have something in common.
Huenda waliwauzia wazungu tu ila hawakuwapeleka kwao.... lakini hao wazungu hawamo kwenye hiyo list ya racists! Kuna swali limeulizwa mara nyingi ila halijawahi pata majibu ya kueleweka; kwamba slave lords walikuwa arabs ila "people of color" hawapo uarabuni; why?
Mwarabu ni mtu mweusi sio mweupe,hao unaowaona weupe,ni mchanganyiko wa watumwa weupe,wazungu kutoka Ulaya ya mashariki,waarabu(wa asili weusi),kuoana na watumwa wa kizungu kutoka Ulaya ya mashariki.Waliobahatika kwenda uarabuni kama watumwa walihasiwa. Pia kulikuwa sheria kali sana kwa mwanamke wa kiarabu kumsogelea mtu mweusi na huenda kama ilitokea kwa bahati mbaya akazaliwa mtoto mweusi baina mwarabu na mweusi basi yule mtoto aliuliwa.
Mwarabu ni mtu mweusi,ni baada ya kuoana na watumwa wa kizungu,kutoka mashariki ya ulaya, ndio kukapatikana weupe(machotara wa kizungu na kiarabu(weusi).Kwa hiyo kuna ubaguzi,ni machotara(wa kizungu na kiarabu),kuwabaguwa weusi wenzao,kwa huko kuchanganya weupe wa kizunguWaarabu wana msemo wao..unasema ni bora shehe awe mlevi kuliko shehe kuwa mweusi..