80% ya Watanzania waliokataa mfumo wa vyama vingi walikuwa sahihi, kizazi cha Upinzani wa kweli bado hakijazaliwa

Kwa taarifa yako CCM ndo haiko tayar kuwa na vyama vingine vya upinzani ndio maaana wanabaka democracy kila siku mara hakuna kufanya mikutano ya siasa uchaguzi umeisha wakat wao wanafanya siasa kila siku kweny majukwaa tunawaona kwa kuwa tu wao wana dora na siraha zote za nchii za kila aina mara bunduki na vifaru poa tu..

Kwa iyo mi nashaur kama vp vyama vingi vifutwe vyote na tubaki na ccm pekee ili hizo hera tunaziharibu kuvifadhili hivi vyama kwa kuvipa ruzuku na ambazo tunazitumia kufanya uchaguzi zifanye kazi nyingine na sio hivi viini macho ya ccm
 
johnthebaptist,
Yaani washukuru hata hayati baba wa taifa aliamua awape nafasi ! Leo hii tunashuhudia upumbavu wa kutosha upinzani ! Wapiga Dili mno ! Wacha turudi chama kimoja kama china!

Hapo hata uwe nani ukiharibu adhabu ni kali sana ! Hata kunyongwa, ndio tutapiga hatua ! Hakuna kucheka na mtu !
 
Alikuwa b
hivi ulikuwepo kura zilipopigwa?sisi tulioshiriki tunajua ukweli ilikuwa kama uchaguzi wa serikali za mitaa uliopita very biased ukiongozwa na wakuu wa wilaya johnthebaptist

Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa bado kuzaliwa,maana hata kauli ya Baba wa Taifa haikuwa alivyoiwasilisha mleta mada.
Hats hivyo,siamini kama wapinzani wote wapo kwa ajili ya matumbo yao au ruzuku.
Chama Tawala mbona wanogopa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi?Hawajiamini kuwa wanakubalika?Wapinzani ni Watanzania wenzetu,tuwape fursa sawa tuone Wananchi watakachoamua kwa Uhuru na uwazi.
 
Kama miaka hiyo enzi za ujima ilipatika hiyo 20% nina uhakika kukiitishwa tena hizo kura miaka hii yautandawazi kuna uwezekano wanaojiona wana hati miliki yakila kitu wakapata majibu yakuumiza.
Kwa hakika ikipigwa kura leo(WhitePaper),CCM wataaibika mno.Watanzania wakati ule walikuwa hawajitambui kama sasa.Kama mnajiamini kura ipigwe upya na ihusishe vipengele vya mfumo gani wa utawala wa nchi yetu na pia kuhusu Katiba Mpya ni kipaumbele au la?
Msijifanye kutumiliki na kutuamulia mambo mpendavyo nyie kwa maslahi yenu.
 
johnthebaptist,
Yaani washukuru hata hayati baba wa taifa aliamua awape nafasi ! Leo hii tunashuhudia upumbavu wa kutosha upinzani ! Wapiga Dili mno ! Wacha turudi chama kimoja kama china!

Hapo hata uwe nani ukiharibu adhabu ni kali sana ! Hata kunyongwa, ndio tutapiga hatua ! Hakuna kucheka na mtu !
Mnyongeni LUGOLA wa ACT WAZALENDO.
Akili za wanachama wa CCM ni za chini hadi kuku wana afadhali. Wapinzani wapiga deal ututajie mmoja, au unamaanisha Lowasa na Sumaye?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
johnthebaptist,
Yaani washukuru hata hayati baba wa taifa aliamua awape nafasi ! Leo hii tunashuhudia upumbavu wa kutosha upinzani ! Wapiga Dili mno ! Wacha turudi chama kimoja kama china!

Hapo hata uwe nani ukiharibu adhabu ni kali sana ! Hata kunyongwa, ndio tutapiga hatua ! Hakuna kucheka na mtu !
Hivi dili zinazopigwa na wapinzani ni sawa na ESCROW, IPTL,Richmond,Meremeta na Kiwira au?
Maana kila Mara tunaambiwa wapiga dili,wanatumwa na mabeberu.
Semeni ukweli,Sisi wengine tunaona dili zinapigwa na watawala tulionao toka chama Tawala.Tufafanulieni ili tuongee lugha inayofanana kama taifa.
 
Mimi nilipiga kura ya maoni kupitia White Paper,tulipendekeza kuingia mfumo wa vyama Vingi maana muda ulikuwa umewadia.
Kuhusu utimamu wa akili yangu,isikusumbue.Ningekuwa sinazo mama yako angeshanikimbia.Ukitaka uhakika muulize tu usione soo.
johnthebaptist, Ulipiga kura ya white paper? Kama hukuwa na akili timamu kama sasa bora ukae kimya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
johnthebaptist,
Yaani washukuru hata hayati baba wa taifa aliamua awape nafasi ! Leo hii tunashuhudia upumbavu wa kutosha upinzani ! Wapiga Dili mno ! Wacha turudi chama kimoja kama china!

Hapo hata uwe nani ukiharibu adhabu ni kali sana ! Hata kunyongwa, ndio tutapiga hatua ! Hakuna kucheka na mtu !
Mbona vingozi ni wengi walioharibu na wanadunda mtaani. Hizo sheria unazoziimba zitakuwa kwa ninyi wajinga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom